Omukailee
Member
- Jul 20, 2020
- 38
- 30
Hali ya dunia kwasasa imekumbwa na machafuko kila Kona haswa vita,migogoro na machafuko mengine ya kisiasa,,,Mwenye jukumu la kusimamia amani ya dunia ni Umoja wa Mataifa ndicho chombo kilichopewa dhamana toka uanzishwaji wake 1945...Lakini je Amani ya dunia ambayo ni wazi ipo matatani ukichukulia wazi uvamizi wa Urusi kwa Ukraine,, Migogoro ya kisiasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,,Mgogoro wa Tigray huko Ethiopia,, Afghanistan kiujumla na maeneo mengine,,mpaka Hali inakuwa hivyo umoja wa Mataifa uwajibikaji wake ukowapi
Je UN inafanya kazi yake kwa matakwa ya Mataifa ya magharibi hasa yale yenye kura ya turufu
Je UN ni muda wake muafaka wa kufanyiwa mabadiliko maana uliundwa mwaka1945 ambapo kihistoria Mataifa mengi ya Africa na Asia yalikuwa Bado makoloni lakin pia Umoja huu uliundwa na timu ya wachache ambao walikuwa washindi wa vita kuu ya pili ya Dunia (alliance) yaani UK,USA,Ufaransa,, USSR
Katika picha ya wazi Mataifa haya yaliweka Kwanza mbele maslahi yake kwanza kwa kujipatia nguvu na viti vya kudumu katika baraza la usalama la Umoja wa Mataifa
Je? Katika hayo kweli ni muda wa UN kufanyiwa mabadiliko na kama ikiwezekana kuundwa upya ili kuendana na Hali halisi ya Sasa tofaut kabisa na miaka77 iliyopita¢¢¢ waonaje wew