Dkt. Magufuli kwaheri, ulistahili kuwa Rais wa Dunia

Dunia ya kijijini kwenu.

Watanzania tuliongozwa na rais asiye amini katika sayansi wakati ana PhD.

Rais asiye amini katika Demokrasi lakini anataka maendeleo

Ana amini maendeleo ya vitu badala ya watu.

Ana amini yeye yuko juu ya katiba

Anasema hadharani pesa haipotei lakini mtu anaweza kupoteza

Tanzania ione umuhimu wa kuteuwa viongozi makini na sio Mtendaji bora
 
Ujui unachoongea wewe

Uyo unamtetea kaharibu Sana soko la biashara ya mazao kwa ubabe wake usio na kichwa Wala miguu.

-Hivi mkulima wa ufuta, unajua sahivi Ni Bei gani?

-hivi mkulima wa ufuta, Ni lini umepewa ruzuku ya pembejeo?
Huyu kichaa hawezi elewa mkuu, ni kumuacha tu na ujinga wake
 
Hayati Magufuli alikuwa mzalendo na anayejua nini maana ya uongozi Magufuli alitamani watanzania woote tuwe wazalendo na ndiyo maana hakutaka kuongeza mishahara ili fedha zitumike kujenga nchi...
Unalipwa Tsh ngapi kwa kumsifia JIWE?
 
Screenshot_20210412-112635~2.jpg
 
Back
Top Bottom