Recent content by omuhabhe

  1. O

    Ni mbinu chafu za kutaka kubakia madarakani kwa ccm hata baada ya 2015 kufika

    Hapa hadanganyiki mtu,kwa mbinu zozote zile zitakazobuniwa na ccm ili 2015 isomeke hivyo kuwa tuna vita na Malawi kwa sababu ya Lake Nyasa,ili waendelee kuwa madarakani. Katika sura ya pili ya katiba tunayoipigia chapuo kwa mabadiliko yake inaelekeza kuwa Nchi inapokuwa na vita dhidi ya adui na...
  2. O

    Chadema acheni kabisa usanii

    Sorry,kwenye jamvi hili tunahitaji matajiri wa mawazo na sio masikini wa mawazo kama uliyonayo Je hizi TV zetu nazo zina-copy na paste kama unavyodhani na ***** wako. Je fedha za makarani wa sensa nani anawadhulumu watanzania maskini CDM au CCM? Tafakari kabla hujatoa masaburi yako hapa.
  3. O

    Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

    kumbukeni Mwl Nyerere alimwona JK wakati ule kuwa alikuwa baado na sasa hivi tangu JK amekuwa rais ameonyesha kuwa alikuwa baado hafai kuwatumikia watanzania kama ni suala la umri. kwa nini suala la umri lijadiliwe na JK wakati tunaandaa KATIBA itakayotupa picha ya kuwa na Rais bora wa Taifa...
  4. O

    Cleopa D. Msuya: Nimemkubali

    yupo na waziri mkuu mwingine mwenye busara nawe umemsahau JSW.
  5. O

    Things you didn't know about Zanzibar

    Hapo ni tani 5,000 au kilo 5,000 (Tani 5)?
  6. O

    Jenerali Ulimwengu amfananisha Pinda na mbwa wa PAVLOV

    Nakupigia salute Jenerali wanajamvi tuwe makini kuzitafakali articles za Jenerali na sio kukurupuka tu. nimerudia na kurudia kuisoma hakuna mahala Jenerali amemfananisha PM kama mbwa wa pavlov nina mashaka na kiwango cha elimu yako na hasa ktk eneo la ufahamu. Kuna uchungu wa kujadili...
  7. O

    Mgao wa umeme wa kufa mtu watangazwa, Juni 2011 na kuendelea

    "kazi ni kwako" (Wtz) tuliambiwa kuchagua mwanga lakini wengi wetu tukachagua giza. poleni Tz kwa ujumla wake. ile mipango iliyopewa kipaumbele na bunge letu la(ccm) ze comedy linajadili nini sasa au posho tu wao waje kununulia magenerator wakati wao wa cdm wanazikataa kutokana na taabu...
  8. O

    Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

    ccm ni mpinzani kwa cdm hivyo yeye kama anao ushaihidi juu ya mafisadi waliopocdm basi autoe maake wananchi ndio majaji wetu Bw. Kibunango (Kinango). jina la Kinango katika vitabu vya kiada alikuwa ni mtu juha asiyetambua anachokiona au nusa n.k
  9. O

    Waziri Sitta apingana na Waziri wa Sitta: Aasa serikali kujibu kwa hoja siyo dola!

    hapa mheshimia sitta umeongea point na vilevile ume-loose points kwa upande mwingine. kwenye point ni pale unapowambia ccm hasa wale viongozi ambao mh.waziri mkuu mstaafu amewaita viongozi maslahi, ambao wengi wao ni ktk ile sombasomba ya makamba ambao ukiwasikiliza kauli zao ni kimakambamakamba...
  10. O

    Sasa ni dhahiri Dr. Kikwete (heshima-UDOM) naye anatamani miaka mitano iishe haraka!

    picha iliyopo kwa kila aliyeahidiwa baada ya kile ninachokiita kutupa kura yako kwa ccm wakati wa uchaguzi 2010,kwa rais na wapiga kura wake wa-tz hakina tofauti na wale wanaodaiana,mdaiwa unakuwa ktk hali mbaya unalutana na mdai wako unazeeka ghafla,maake ulikopa kwa kutumia misamiati na maneno...
  11. O

    Sasa ni dhahiri Dr. Kikwete (heshima-UDOM) naye anatamani miaka mitano iishe haraka!

    sio lazima hiyo miaka 5 iishe alivyochoka yeye basi ajue wale aliotuahidi kwa ahadi zake nyingi ndio tuko hoi bin taabani,tutamsamehe hata kesho akijiuzulu tu. aachie wengine wajaribu kubebea msalaba kuanzia hapo.
  12. O

    Mwanza - Meya na Naibu wake wachaguliwa toka CHADEMA

    wa jf sio jambo geni kuona chadema imeshinda hapo mza,ni ucheweshaji na mizengwe tu ndio iliyokuwa ikifanywa na ccm lakini Mungu wetu anayependa amani amedhihilishia hilo. hata huko arusha hali itakuwa hiyohiyo pamoja na wa tz kufa kwa ajili ya haki yao, NATOA POLE KWA JAMAA NA NDUGU...
  13. O

    GE2010 Ndoto yangu 2015: Dr slaa awe rais na mtikila waziri mkuu

    mie ni muumini sana wa ndoto na hasa ninapowasoma watumishi wengi katika vitabu vya dini. sasa kama sio ndoto za shibe hasa wakati huu wa sikukuu mfururizo basi upo sahihi 100% kwenye suala la Mheshimiwa Dr.Slaa kuwa Rais tena kwani hata awamu hii yeye ndiye alikuwa Rais ila UGHIBAGHIBO ndio...
  14. O

    Mizengo Pinda atangazwa kuwa Waziri Mkuu tena

    mwaka wa akina mama kuchukua sehemu kuu waziri mkuu anaweza akawa hat vick kamata dada yangu jk alisema serikali yake wengi watakuwa vijana kwendana na slogan yake ya kujenga uchumi
  15. O

    Pendekezo: SLAA APEWE UKUU WA WILAYA?

    tatizo lako nawengineo kama wewe mlio katika kundi la mawazo mgando mnafikili Dr.Slaa aligombea kwa kutaka maslahi binafsi. ni kiongozi gani kati ya wailogombea aliyeahidi kula mihogo ili wewe uondokane na mawazo mgando ambaye huamini kuwa bila ccm utabadilishwa kimawazo na kimaendeleo
Back
Top Bottom