Huyo slaa angeanza kutaja mafisadi waliyomo ndani ya chama chake! Hii kukimbilia kujitia anajua sana mambo ya CCM ni kutafuta ujiko usio na mshiko!
Moelex23, asante sana kwa hili, Chadema ina udhaifu mkubwa wa kukosa long time strategiest hivyo kukalia kushindana kulipua mabomu.
Mimi ni miongoni mwa wapenzi wachache wa Chadema (sio mwanachama) ambao sikubaliani na baadhi ya moves za viongozi wa juu wa chama hiki.
Baada ya uchaguzi mkuu, nilisema it was wrong move kwa Dr. Slaa kususia kutangazwa kwa matokeo, nikasisitiza siku ya kutangazwa matokea was the best opportunity ya kueleza kutoridhishwa kwake na kutoyatambua matokeo.
Baada ya kutoyatambua matokeo yale, nilitegemea by now, Chadema wangekuja na altenative matokeo yao kujusfy kile wanachopinga, mpaka leo hakuna.
Sipendi Chadema ibaki kuwa ni chama cha kulalamika na kuendesha maandamano, natamani Chadema wewe chama chenye vision ya kuona political opportunity and seize such opportunities for their advantage.
CCM kujivua gamba is an opportunity huku ni kuvuja kwa pakacha (CCM), ambayo inatakiwa kuwa nafuu kwa mchukuzi (Chadema), badala ya mchukuzi kujituliza na kujiachia tuu mpaka pakacha libaki tupu, yeye ndio wa kwanza kumweleza mwenye pakacha, kuwa pakacha linavuja!, hivyo kumpa nafasi kuziba matundu yote hata yale ambayo yangempa unafuu mchukuzi!.
Kwenye hoja ya ufisadi, tayari CCM wanashikana mashati kutafutana uchawi, Chadema ilitakiwa ikae kimya iangalie tuu hii sinema. Kitendo cha Chadema kupiga kelele mpya, na kuwataja vipenzi vya watu kama kina Magufuli, kutaifanya CCM kuwasamehe hata mafisadi wake kama kina RA, EL na Mzee wa Vijisenti!.
Kwa mfano mtu kama Magufuli, hata ukiutangaza ufisadi wake kwa mabango, vipeperushi na maandamano nchi nzima, halafu uchaguzi ukaitishwa kesho, John Pombe Magufuli akasimama na Dr. Slaa, John Pombe, atamtupa kwa mbali Dr, kwa sababu moja tuu, watu watachagua mtu na sio chama. Pombe ana good track record ya kudeliver, Dr. yeye ndio kwanza anaitafuta hiyo opportunity ya kuwathibitishia Watanzania kuwa ata deliver.
Ndani ya Chadema, nadhani kitu vitu vikipangwa, hakuna wa kushauri otherwise, and this is not good kwa chama makini.
Pasco.
HTML:Kwanini ya Facebook yabaki Facebook wakati aliyeandika hayo ni the same person,on same subject matter,ila tofauti sasa ni imemhusu mzazi. Uzoefu mwepesi tu unastahili kukuonyesha kuwa jitihada za mafisadi kujisafisha au kusafishwa so far hazijaweza kufanikiwa.Unaweza kuweka kambi hapa kumtetea mzazi (who wouldnt anyway) lakini court of public opinion haihitaji hizo documentary evidence.Watanzania si wajinga wa kuaminishwa kitu kisichopo,na wana uwezo wa kuchambua pumba na mchele.Kwahiyo,laiti tuhuma za ufisadi dhidi ya Mzee Malecela ni uzushi mtupu basi same court of public opinion itamtakasa.[/QUOTE] [SIZE=3][COLOR=blue]- Slaa hajaenda mahakamani kuhusu kuibiwa kura za urais alioushinda, Chadema haijaenda mahakamani kuhusu kupokea hela za nje kuleta vurugu, mkuu wewe na Slaa ndio waamuzi wa mwisho kuhusu public opinion soma vizuri mawazo ya watu hapa utaona kwamba kwenye haya majina mapya Slaa ameharibu so is Chadema, ndio maana kuna siku nilisema hivi kuna wananchi wengi Tanzania hawajui kwamba Slaa ni kiongozi wa Chadema, kwa sababu it is always about him na kuwepo kwenye media kila siku, ameibiwa kura za uchaguzi hajaenda mahakamani mpaka leo, Mtikila kesi ya mgombea binafsi ameenda kwenye sheria na kuishinda serikali, now you wonder nani mwenye nafuu! - Mangula na Malecela hawawezi kuwa mafisadi for that Slaa ametuhadaa na binafsi nimekosa heshima tena na huyu kiongozi wenu mlipua mabomu, niliongea na mtu mmoja aliyewahi kugombea ubunge na Slaa, akaniambia ni tabia yake kukuzushia maneno mengi sana ya uongo, anasema hata yeye mpaka leo hana hamu naye, Slaa arudi chini kukijenga chama badala ya kulilia media headlines kila siku hazikijengi chama huko vijijini ambako kuna majimbo Chadema haikuweka wagombea kabisa kwa kutokuwa na presence, ni ushauri wa bure tu![/COLOR][/SIZE] [SIZE=4][COLOR=red] William @ NYC, USA. [/COLOR][/SIZE]
Jeni wewe ni mkuu wa wilaya gani vile!??wewe sio superman ni propagandist wa chadema.
chadema wamefulia
weka magufuli na upande mwingine mbowe. waulize wananchi nani fisadi. jibu kwa asilimia zaidi ya 90 litakuwa mbowe.
kuwataja magufuli na malecela kumemwokoa lowassa kuchukuliwa hatua na ccm.
William, Katiba ya Tanzania na sheria ya uchaguzi haitoi sehemu yoyote ya kushitaki kwa wizi wa kura za urais kama tume ikishamtangaza mgombea mmoja kuwa mshindi. That is end of it. Na ndiyo maana Watanzania tunataka Katiba mpya.- Slaa hajaenda mahakamani kuhusu kuibiwa kura za urais alioushinda, Chadema haijaenda mahakamani kuhusu kupokea hela za nje kuleta vurugu, mkuu wewe na Slaa ndio waamuzi wa mwisho kuhusu public opinion soma vizuri mawazo ya watu hapa utaona kwamba kwenye haya majina mapya Slaa ameharibu so is Chadema, ndio maana kuna siku nilisema hivi kuna wananchi wengi Tanzania hawajui kwamba Slaa ni kiongozi wa Chadema, kwa sababu it is always about him na kuwepo kwenye media kila siku, ameibiwa kura za uchaguzi hajaenda mahakamani mpaka leo, Mtikila kesi ya mgombea binafsi ameenda kwenye sheria na kuishinda serikali, now you wonder nani mwenye nafuu!
- Mangula na Malecela hawawezi kuwa mafisadi for that Slaa ametuhadaa na binafsi nimekosa heshima tena na huyu kiongozi wenu mlipua mabomu, niliongea na mtu mmoja aliyewahi kugombea ubunge na Slaa, akaniambia ni tabia yake kukuzushia maneno mengi sana ya uongo, anasema hata yeye mpaka leo hana hamu naye, Slaa arudi chini kukijenga chama badala ya kulilia media headlines kila siku hazikijengi chama huko vijijini ambako kuna majimbo Chadema haikuweka wagombea kabisa kwa kutokuwa na presence, ni ushauri wa bure tu!
William @ NYC, USA.
Lakini kumbuka kuwa wa kwanza kumwambia Malecela ni fisadi ni Sophia Simba wakati huo akiwa waziri. Hapo hujasema chochote, kama ufisadi wa Mzee Malecela ulionekana mpaka na walio ndani ya CCM na wakathubut kusema, basi nadhani kwetu sisi wananchi wa kawaida, tunadhani kuna makubwa zaidi na mengi kwa Mzee Malecele. Kama watu wana data zaidi za ufisadi wa huyu Mzee Malecele watujuze labda ni zaidi tu ya kusema ni fisadi.
Pia kumbuka kuwa kama mtu ameshiriki katika maamuzi ambayo yamepelekea fedha za nchi kutumika isivyo kwa manufaa ya kikundi fulani haijalishi kama yeye kama mtu amechukua kiasi gani au hajachukua lakini ni fisadi. Ukiangalia Mangula na Deep Green,Kagoda, nk. nadhani anafahamu zaidi kwani alikuwa katibu mkuu wa CCM wakati huo na kama alibariki zitokee maana yake yeye ni part of it, hawezi kukwepa lawama!!!
Wait a minute!
Tabora ni nyumbani kwa Lipumba
Lipumba ni Mkiti wa Kafu
Kafu ni Mke wa ccm
JK ni Mkiti wa ccm
Kwa nini Chadema wanakwenda nyumbani kwa mke wa mtu kwenda kumwambia kuhusu mume wake alivyo fisadi? Je mume atakubali hili litokee? Basi tusubiri kuona polisi na TBC watakavyo handle hili
Superman, vita vya kisiasa, hupiganwa kama vita vingine vyone, the one with the right strategies na right tactics, ndiye siku zote atashinda vita, ndio maana hata Amini, tulifanikiwa kumshinda na kumtimua pamoja na silaha zake za kisasa kabisa ambazo alipowa na Ghadafi.Mkuu Pasco;
Hivyo ni vile ambavyo wewe unaona. Ni chaguo lako kuona ni upande upi wa shillingi unataka kuuona.
Najiuliza maswali mengi una maana gani unaposema "na kuwataja vipenzi vya watu kama kina Magufuli, kutaifanya CCM kuwasamehe hata mafisadi wake kama kina RA, EL na Mzee wa Vijisenti!". Elewa kuwa wakati mbaya wa CCM kuwatosa makada hawa ilikuwa ni kabla ya uchaguzi. Hawakufanya hivyo kwa kuwa chama kingesambaratika. Hawakuweza kufanya hivyo kimikakati na ndiyo maana JK aliwakumbatia na kuwasafisha kipindi hicho. Lakini si sasa, ulazima wao wa kuwepo ndani ya chama si muhimu kama kipindi kile.
Elewa mpaka sasa move ya EL na timu yake ya kutaka kumwondoa JK kuwa mwenyekiti wa CCM ndiyo iliyowacost sana. Pia wasiwasi wa JK atakapomaliza ngwe yake Nchi amwachie nani na historia itamuhukumu vipi. Ieleweke BWM hana raha hadi leo kwa kelele anazopigiwa.
Wakati wewe unaona move ya CHADEMA ya kutaja mafisadi zaidi ni wrong upande mwingine wa shillingi unaonyesha kuwa hii ni strategy nzuri. Kwa kuwataja "wasafi wa CCM" kuwa mafisadi: Magufuli; Malecela; Mang'ula; na vigogo wa kudumu CC na NEC ya CCM: Sumaye; Mkapa na JK ina maana wao pia wafukuzwe uanachama. je watafukuzwa? RA na sophia simba alisema ndani ya CC kuwa hakuna ushahidi lakini CC safari hii haikukubali na ikawatosa, so suala la ushahidi si issue kwa sasa ila issue ni ushahidi wa kimazingira na kisiasa.
CHADEMA wanajua kwa kulitaja hili CCM wana chaguzi 3:
1. Kufuta mpango wao wa kujivua Gamba na kukaa kimya kama hawajui kitu.
2. Kuwatosa mafisadi wa Phase 1 na Phase 2 kitu ambacho hakiwezekani
3. Kuwasamehe mafisadi wote wa Phase 1 na Phase 2 kama ulivyosema.
Katika hali yoyote CHADEMA wanao mtaji wa kisiasa wa kuendelea kuwapaka CCM kuwa si lolote si chochote na ni Wasanii katika vita vya Ufisadi. hapo bado kuna mafisadi wa 'stimulus package' hawajatajwa.
Nadhani move ya CHADEMA kisiasa inalipa na again kama walivyo prove kwa Phase 1 list na kuwalazimisha CCM kuchukua hatua, I believe also this one will work.
Respect.
QED.
TUJIKUMBUSHE ORODHA YA 2007
1. Dr. Daudi T.S. Balali
2. Andrew J. Chenge
3. Basil Pesambili Mramba
4. Gray S. Mgonja
5. Patrick P.R Rutabanzibwa
6. Nazir Karamagi
7. Nimrod Mkono
8. Rostam Aziz
9. Edward Lowassa
10. Benjamin W. Mkapa
11. Jakaya Mrisho Kikwete
- Slaa hajaenda mahakamani kuhusu kuibiwa kura za urais alioushinda, Chadema haijaenda mahakamani kuhusu kupokea hela za nje kuleta vurugu, mkuu wewe na Slaa ndio waamuzi wa mwisho kuhusu public opinion soma vizuri mawazo ya watu hapa utaona kwamba kwenye haya majina mapya Slaa ameharibu so is Chadema, ndio maana kuna siku nilisema hivi kuna wananchi wengi Tanzania hawajui kwamba Slaa ni kiongozi wa Chadema, kwa sababu it is always about him na kuwepo kwenye media kila siku, ameibiwa kura za uchaguzi hajaenda mahakamani mpaka leo, Mtikila kesi ya mgombea binafsi ameenda kwenye sheria na kuishinda serikali, now you wonder nani mwenye nafuu!
- Mangula na Malecela hawawezi kuwa mafisadi for that Slaa ametuhadaa na binafsi nimekosa heshima tena na huyu kiongozi wenu mlipua mabomu, niliongea na mtu mmoja aliyewahi kugombea ubunge na Slaa, akaniambia ni tabia yake kukuzushia maneno mengi sana ya uongo, anasema hata yeye mpaka leo hana hamu naye, Slaa arudi chini kukijenga chama badala ya kulilia media headlines kila siku hazikijengi chama huko vijijini ambako kuna majimbo Chadema haikuweka wagombea kabisa kwa kutokuwa na presence, ni ushauri wa bure tu!
William @ NYC, USA.
Ana hasira ya Watanzania kumpa kura Kikwete alifikiri akipayuka basi atapata kura. Watanzania tuna akili akija mgombea mwingine mzuri wenye akili timamu, tutampa kura na atakuwa raisi lakini kama mgombea 2015 wa chadema atakuwa Slaa Watanzania wengi hatutampa tena kura zetu.