Recent content by Omarou

  1. O

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kupata fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi

    Keep It Up Kiongozi.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Fahamu vyanzo mbalimbali vya fedha kwa ajili ya mradi wako (Fundraising)

    Nikiwa kama mdau wa masuala haya, nafurahi sana nionapo nyuzi za namna hii.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Fahamu namna ya kuibua wazo la mradi (Community project plan)

    Mkuu, shukrani kwa elimu yako, umegusa mule mule. Keep It Up.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Tokea dunia ianze hajatokea msanii mkali wa RnB kama Jaheim, lakini sijui kwanini?

    Tumefanana fikra kwa namba moja. Namkubali sana Joe Thomas, ana uwezo wa kukomand sauti.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Napata changamoto kubwa katika kupanga mambo yangu

    Nimeipenda sana rafiki. Hata nami itanisaidia kwa hakika. Be blessed.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Sasa Mkuu, kivipi naweza kumuimarisha huyu kiumbe akawa imara zaidi???
  7. O

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Mkuu, niko na swali/jambo. Mara nyingi sana huota ndoto ambazo mwisho wa siku hutokea kweli, hii hali niko nayo muda mrefu sasa, though sometimes nazipuuzia labda huenda nashindwa kuzitafsiri Suali langu. -Inakuaje nakuwa na hali hii/nini chanzo? -Kivipi naweza kufaidika na hali hii? -Pia kwa...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Nimerudi tena kwenu Wakuu.

    Mkuu, System type ya computer ni 32-bit Operating System, x64-based processor
  9. O

    JamiiForums Tanzania Nimerudi tena kwenu Wakuu.

    Kwanza natanguliza shukrani za dhati kwa msaada niliopata humu baada ya kuleta uzi wangu. My thanks go to Chief Mkwawa and other JF members. Leo niko na shida nyingine. Nili-search uzi wa ku-download MICROSOFT OFFICE 2013 and fortunately nikaupata, kupitia link ikiyoweka niliweza...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Shukrani Kiongozi. Nimekuelewa vyema.
  11. O

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Mkuu niko na suali. Siku moja nilinunua suruali kwa jamaa mmoja Karume, sasa kitendo cha mimi kununua ile suruali jamaa akaanza kusema "Aisee umenitolea lock, una mkono mzuri sana, na siku nikikutana nawe sitokusahau" kifupi alionekana kufurahi. Sasa kinachonitatiza; -Kwa nini aniambie...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Mwenye KUFAHAMU unahusika

    Ahsante sana Chief. Be blessed.
  13. O

    JamiiForums Tanzania Mwenye KUFAHAMU unahusika

    Habari zenu wapendwa. Natumai nyote mu wazima wa afya. Members wenzangu nimekuja kwenu kwa kutaka msaada juu ya vitu viwili. MOSI; Kuna member alieleza jinsi ya ku-download videos bure tthrough YOUTUBE hususani nyakati za usiku (Night offer)) kwa kutumia mtandao wa TIGO, alisema waweza tumia...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Viumbe roho havina sura maalum

    You are the first to reply or comment?
  15. O

    JamiiForums Tanzania Azerbaijan ni taifa pekee la Kiislam rafiki na Israel

    Be blessed Mkuu. Umeelezea vizuri sana, watu wengi hukurupuka sana katika kuielewa Quran. Na ndio maana mtu hawezi ku-qualify kutafsiri Quran mpaka. -Afahamu sababu ya kushuka aya (Contextuality) -Awe mahiri katika lugha ya kiarabu -Awe na ufahamu juu ya hadithi za Mtume a.s ambazo kuna baadhi...
Back
Top Bottom