Recent content by ole ole

  1. ole ole

    Naandika kwa Mara nyingine kuhusiana na Kufutiwa vyeti...

    Ndugu zanguni kama kuna mtu anafahamiana vizuri na waziri a Elimu anisaidie kumuuliza hili. Swali; Je, sheria inaanza kufanya kazi wakati gani? Ni kweli ametangaza kuwafuta wanafunzi waliojiunga na vyuo vikuu bila kuwa na sifa, hili sina pingamizi. Pili ameahidi kuchunguza vyeti vya...
  2. ole ole

    Kwanini wanawake wa kizungu wana miguu mizuri kuliko hawa mabinti zetu?

    Lakini mabinti zetu wana chuea kuliko wao
  3. ole ole

    Unakumbuka nini siku ya kwanza kufanya ngono?

    Da umenikumbusha mbali...nilianza kwa mtoto wa mwalimu ..usiku alinisindikiza nashangaa tukaingia kwenye migomba hadi chini...nakumbuka skuingiza lakini nilikojoa ...daaa nilijiskia dume...nilikua form 1 miaka ya 2000 hivi
  4. ole ole

    Lowassa ni mateso kwa Taifa

    Mtu akiamka tu Lowassa...akinya tu Lowassa..basi ww unayejua ni fisadi mshitaki kama hujatoa mapovu kwa aibu
  5. ole ole

    Je, Tundu Lissu bado unaamini kuwa Magufuli ni Dikteta Uchwara?

    Kwa hiyo ww ulitaka tundu lisu atolewe ngeu...ww vipi...au kosa gani alifanya asilione jua..ww unajua maana ya matusi
  6. ole ole

    Hatutakubali serikali yetu kuaibishwa na wanasheria wasiojua sheria kama hawa

    Kwani ww unadhani Tundu Lisu ana kosa gani... Mnachukia haki ikitendeka ee
  7. ole ole

    Serikali yaanza kupinga hukumu Sheria ya Ndoa kwa watoto wa kike juu umri sahihi wa kuolewa

    Serikali ipo sahihi kwasababu binti akimaliza la saba na hajaendeoea na shule aoelewe
  8. ole ole

    Kiapo cha kunywa damu kwenye mahusiano

    Labda ni mimi ama staki kumtaja huyo mtu... Alifanyaga hivyo hivyo lakini baadae walioana tena kwa ndoa takatifu... Baada ya kupata mtoto yule mwanaume alienda masomoni na yule mama ni mwalimu..si akaanza kuchepuka..kila anachokifanya yule mwanaume anaona kwa hisia na watu pia wanamwambia..cha...
  9. ole ole

    Nini madhara ya kuoa mwanamke anayekuzidi umri?

    Wanawake wengi wanafikia menopouse mapema ..sasa anapokua amefikia wakati wanasema life of a man start at 40.. Maana yake mwanaume anaanza kuonekana dume wa ukweli akiwa na miaka 40.. Na ndio anaanza na majukumu ya kudumu... Wakati huo uke wa huyo mwanamke imeanza kubadilika...hadi epithelial...
  10. ole ole

    Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

    Kwa ushauri tu...achana nae..hakuna kitu kibaya kama kushare mke....
  11. ole ole

    Mafuta ya nywele

    Tumia mafuta ya n'gombe ni mazuri sana
  12. ole ole

    Kuishi chumba kimoja na mkeo na kaka yako

    Labda ww husimamishi kwa hiyo unahisi unaibiwa kaka ...pole
  13. ole ole

    Namtafuta mpenzi

    Sasa ndugu nikiweka cv hapa itakua shida maana watafuata mpunga... staki aje kihivyo ntajuaga huko...wanaume wanakoseaga kujipamba saaana..mimi siwezi...ni hivyo kama ananitaka atanifaham polepole....na hope awe mzuri tabia tutashauriana
Back
Top Bottom