Nini madhara ya kuoa mwanamke anayekuzidi umri?

..............................................................a kuelewa biological life ya mwanamke kwa umri tofauti tofauti ili itakapofikia say menopause basi akubali hali na si kwenda kuwinda mitetea nje. Kwa kuwa wanaume wengi ni wagumu kwa jambo hili basi ni vyema wanawake ku avoid sana kuolewa na wanaume wadogo sana kiumri. Itawatesa mbeleni sana kama busara hazitatumika.
Hivyo unapendekeza tofauti iwe miaka mingapi?
 
yea .. Very true .. na Hilo ndilo tatizo kubwa la kumuoa mwanamke anayekuzid umri. Ni vyema kujua biological effects kwanza na kuklubaliana nazo.

shekh naona umemchoka mke wako sasa unamtafutia sababu [emoji23][emoji23]

Me pia nmemstukia[emoji3]

Duu ukweli kwangu umri ni kigezo kikubwa sana. Ninapendelea kabisa mwanaume anizidi japa hata kwa miezi tu. Ila ikitokea tumependana sana basi nimzidi kwa mwaka 1 au miwili. Ila nimekutana na cases nyingi sana wako wanaume wanapenda kuwa na mahusiano au kuoa mwanamke amempita up to 5 years. Ikifikia hapa ni lazima mwanaume huyo nihakikishe bila chenga kuwa ana upendo wa dhati sana kwa kuwa kwa asili wanawake wengi wanazeeka mapema na hata nguvu ya kumridhisha mwanaume ina deteriorate mapema sana ukilinganishwa na mwanaume. Sasa basi mwanaume huyo kabla hajaniona ni lazima awe amesoma na kuelewa biological life ya mwanamke kwa umri tofauti tofauti ili itakapofikia say menopause basi akubali hali na si kwenda kuwinda mitetea nje. Kwa kuwa wanaume wengi ni wagumu kwa jambo hili basi ni vyema wanawake ku avoid sana kuolewa na wanaume wadogo sana kiumri. Itawatesa mbeleni sana kama busara hazitatumika.
 
Hivyo unapendekeza tofauti iwe miaka mingapi?
Ninapenda mwanaume anizidi miaka 5. Ikishindikana between 0-5 yaani tuwe sawa umri au anizidi anzia mwaka 1 hadi 5. Kama atakuwa mkubwa zaidi ya miaka 5 si mbaya sana ila isizidi 10 ila napo ni lazima nie nimejiandaa kukabiliana na uzee wake wakati mimi nikiwa ni kijana fulani pale tunapozidiana miaka 10. Ila kwa ujumla kama atanizidi nikiridhia hakuna shida kabisa nitakuwa nimeshajiandaa kisaikolojia. Ila pia kama nitamzidi iwe 1-2 years na si zaidi na hapa itabidi nipate ushauri nasaha wa kukubali umri mdogo. Na kama nitamzidi say 5 years ukweli itabidi iwe ana sifa za kupitiliza ambazo zitanifanya kukubali kuolewa naye. Ukweli nina shida kubwa sana ki mindset kuhusu kuolewa na mwanaume mdogo kwangu. Ili itokee hivyo itabidi nichukue muda mrefu sana wa kujiridhisha na kuomba ushauri kwa kweli. Huwa ninaona aibu mno mbele za watu kama nitakuwa na mwanaume mdogo. Ni kwa sababu huwa niko sensitive sana na kusengenywa na wakwe, mawifi au hata marafiki wa mume. Kwa misingi hii nitakuwa sijiamini kabisa. This is my weakness na ni kubwa hivyo inahitaji kazi kubwa sana kuweza kunibadilisha mtizamo wangu. Ila mwisho wa siku maisha yetu yako mikononi mwa Mungu na tangu ulipozaliwa ninaamini Mungu alishakupangia mpaka life partner kama ndiyo njia yako ya maisha. Kwa misingi hii ataleta miujiza ya kunibadilisha kama itatokea niwe na mtu ambaye ni mdogo kwangu kiumri.
 
Ok. Nimekupata mkuu. Kumbe wanaozidiana miaka zaidi ya 10 let say 14 siyo nzuri aisee.
 
Atawahi kuzeeka huku akuache bado kijana uanze kukimbizana na mademu wengine. Pia atakuzidi kiakili na kukuona hufikirii mbele
 
Changamoto ni umri amenizdi, kipato amenizid, Elim amenizid. Sema anayo heshima, ni mtiifu, na mshauri mzuri, ana akili ya maisha na anajua mipango. Kiukweli ni kama msaidiz wangu kama Eva kwa Adamu pale bustanini EDEN
We we unafata kipato na uraisi wa maisha tu ila ukishapata unafuu utamchoka tu. Ka una mpenda kweli all the best ka unafata mteremko uzalendo utakushinda tu.
 
Thank you so much for sharing some experience with me, i never thought you would come up with such a brilliant explanation. N ways One of your paragraph (G), you talked about her demand to have children so bad before marriage because of her age. Boss, This is so true because she's four months pregnant and pushing me to marry her before her delivery . Hapa ndo nazidi kuchanganyikiwa. Its like i have been set up or something. What do i do?

OKAY MY FRIEND! Remember when i said older women can be manipulating and controlling? Well this is it. Before anything i'd like you to ask yourself and be honest with yourself. Don't worry about an internet stranger trying to give you advise on something that will either make your life happy or make it the worst. DO YOU truly love this woman? Does she make you happy? Do you want to be with her? Are you ready for it? Be honest with yourself about the answers. If most of them are "NO" then my friend DON'T MARRY THAT WOMAN!

On the other hand, just because she's pressuring you to marry her doesn't make it wrong. Kumbuka there's shame to bear especially in our cultures with women who have kids out of wedlock. I know Tanzania is evolving and things are changing, but if she's older than means her thinking is also stagnant to the ideas and influences of older generations. You can't fault her for that. But what you can do is COMMUNICATE with her. Ask her why marriage, what's the rush? And if you plan on marrying her some day, be honest with her. Tell her that you will marry her but your not ready. And why aren't you ready if your not? She'll demand an explanation and rightfully so, give it to her.
 
Mara nyingi wanawake waliowazidi bwana zao kwa umri huwa Na nidhamu kwenye ndoa.
 
Changamoto ni umri amenizdi, kipato amenizid, Elim amenizid. Sema anayo heshima, ni mtiifu, na mshauri mzuri, ana akili ya maisha na anajua mipango. Kiukweli ni kama msaidiz wangu kama Eva kwa Adamu pale bustanini EDEN
mmh kakuzidi kila kitu ..at your own risk
 
OKAY MY FRIEND! Remember when i said older women can be manipulating and controlling? Well this is it. Before anything i'd like you to ask yourself and be honest with yourself. Don't worry about an internet stranger trying to give you advise on something that will either make your life happy or make it the worst. DO YOU truly love this woman? Does she make you happy? Do you want to be with her? Are you ready for it? Be honest with yourself about the answers. If most of them are "NO" then my friend DON'T MARRY THAT WOMAN!

On the other hand, just because she's pressuring you to marry her doesn't make it wrong. Kumbuka there's shame to bear especially in our cultures with women who have kids out of wedlock. I know Tanzania is evolving and things are changing, but if she's older than means her thinking is also stagnant to the ideas and influences of older generations. You can't fault her for that. But what you can do is COMMUNICATE with her. Ask her why marriage, what's the rush? And if you plan on marrying her some day, be honest with her. Tell her that you will marry her but your not ready. And why aren't you ready if your not? She'll demand an explanation and rightfully so, give it to her.

Okay. But what explanations you think will Quench her thirst of getting into wedlock if i ask?
 
Changamoto ni umri amenizdi, kipato amenizid, Elim amenizid. Sema anayo heshima, ni mtiifu, na mshauri mzuri, ana akili ya maisha na anajua mipango. Kiukweli ni kama msaidiz wangu kama Eva kwa Adamu pale bustanini EDEN
Hapo mwishoni pamekaa vizuri. We muoe tu mkuu,maadam umekiri

1. Mtiifu

2. Mshauri mzuri

3. Ana akili

Na ni msaidizi... Mungu akupe nini tena?
 
We we unafata kipato na uraisi wa maisha tu ila ukishapata unafuu utamchoka tu. Ka una mpenda kweli all the best ka unafata mteremko uzalendo utakushinda tu.

Ha ha ha! Hapana ye ndo anatafuta kuteremka kupitia mimi, mana me bado dam inachemka yan Kilometa bado zinasoma 00.00 ye tayari mileage inakaribia 100,000
 
Wakuu salaam,

Naomba ushauri wenu wa hali na mali kabla ya kuingia kwenye hii singeli (ndoa), mwanamke niliye naye ni ana umri mkubwa kidogo kuliko mimi, na nipo mbioni kutangaza ndoa.

Noamba ushauri je kuna madhara yoyote nitakumbana nayo kwa kuoa mwanamke aliyenizid umri.

ASANTE.
Hakuna madhara yoyote ila kila ukikosea atakuona una mambo ya kitoto tu. Na kusema bora angeolewe na mtu waliofanana kimiaka.
 
Wanawake wengi wanafikia menopouse mapema ..sasa anapokua amefikia wakati wanasema life of a man start at 40..
Maana yake mwanaume anaanza kuonekana dume wa ukweli akiwa na miaka 40..
Na ndio anaanza na majukumu ya kudumu...
Wakati huo uke wa huyo mwanamke imeanza kubadilika...hadi epithelial lining hamna kitu tena..matokeo yake utaanza kuchepuka kutafua malavidavi...
Lakini sijui kwa ushauri zaidi...ukiitaji tutakusaidia
 
Hapo mwishoni pamekaa vizuri. We muoe tu mkuu,maadam umekiri

1. Mtiifu

2. Mshauri mzuri

3. Ana akili

Na ni msaidizi... Mungu akupe nini tena?

Isije kuwa anafanya haya Yote ili ku win ile trophy ya Ndoa, baada kushaingia kwenye Ndoa then anaamsha makucha yake
 
Ha ha ha! Hapana ye ndo anatafuta kuteremka kupitia mimi, mana me bado dam inachemka yan Kilometa bado zinasoma 00.00 ye tayari mileage inakaribia 100,000
Jiandae tu kisaikolojia kukabiliana na hali zote za kisaikolojia kwani kakuzidi miaka mingapi, maana yeye anataka ndoa by any means na akipata mtoto na mume atajiridhikia hamu hata ya tendo hukatika hasa akikaribia menopause.
 
Back
Top Bottom