mwanzo nilikuwa naona maajabu ya dunia kama wewe sasa nimezoea..kuna mahali nimehamia mwezi 1uliopita kwenye hiyo nyumba kuna mabanda ambapo kuna wapangaji chumba kimoja kimoja kuna jirani mmoja alinipenyezea hii habari kuwa kaka mtu ana mwaka hapo toka aje anadai sebleni pamewekwa pazia kaka mti analala.binafsi nilijiuliza maswali mengi inakuwaje sikupata jibuMkuu hapo ni two husband one suitor....
Nadhani ni maajabu ya dunia....wakati ukiwa unagegeda yeye anachart humu Jf.... Alafu we we ukitoka asubuh kwenda kazini zamu Yake sasa kugegeda....
Huyo kaka hajapata hamu ya kuanza life lake kwa vile anmekuwa mume mwenza
mkuu ni kwamba habari za chinichini nilizozipata ni kwamba mwanamke ana miaka kadhaa hajapata mimba sasa sijajua kama jamaa kafanya kusudi kumleta ndugu au la ni kama amechoshwa na huyu mwanamke na ukimkuta muda wote hayuko happy ni kama anastrees sana huyu dada..mkuu hivi ni kweli mkeo unayempenda kwa dhati utalala naye chumba kimoja na kakako?ukitaka penzi unafanyaje?au ndo kimya kimya?mi naona kama unyanyasajiMapenzi ha ukweli kivipi?? Kwani ujio wa kaka ako unahusiana nini na mapenzi yenu?? Hapo cha msingi ni kufanya juhudi ili chumba kingine kipatikane mpate uhuru
Sasa kama hamtaki kwanini asiachane nae??mkuu ni kwamba habari za chinichini nilizozipata ni kwamba mwanamke ana miaka kadhaa hajapata mimba sasa sijajua kama jamaa kafanya kusudi kumleta ndugu au la ni kama amechoshwa na huyu mwanamke na ukimkuta muda wote hayuko happy ni kama anastrees sana huyu dada..mkuu hivi ni kweli mkeo unayempenda kwa dhati utalala naye chumba kimoja na kakako?ukitaka penzi unafanyaje?au ndo kimya kimya?mi naona kama unyanyasaji
sijui kwakweli..japo natamani sana siku moja hata anifungukie nimpe hata ushauri kwa sababu kuna kijana mwingine anaishi peke yake na wameomba kulaza pikpik humo asbh wanaitoa sasa kwa upeo wangu nikajiuliza c bora angeomba alale kaka mtu sijapata jibuSasa kama hamtaki kwanini asiachane nae??
Hao naooosijui kwakweli..japo natamani sana siku moja hata anifungukie nimpe hata ushauri kwa sababu kuna kijana mwingine anaishi peke yake na wameomba kulaza pikpik humo asbh wanaitoa sasa kwa upeo wangu nikajiuliza c bora angeomba alale kaka mtu sijapata jibu
KWANGU MWIKO, HAIWEZEKANI KABISA ... SIPENDI EXTENDED FAMILY...Habari wana JF,
Unaishi wewe na mkeo kwenye chumba kimoja, kaka yako kutoka kijijini akaja kutafuta maisha unaishi naye humo kwenye chumba kimoja na ni mwaka sasa umepita toka aje.
Tuambizane ukweli jamani ni sahihi hii?
Kuna mapenzi ya kweli hapo?
tunaishi wapangaji tu