Mafuta ya nywele

mafuta ya nazi asilia namaanisha ya kutengeneza mwenyewe nyumbani ni mazuri mno. kuliko ya dukani.
 
Mafuta ya Nazi napika mwenyewe nyumbani

Nachukua Nazi yangu kavu iliyokomaa vizuri nakuna taratibu nachuja tui langu Mara moja nalianika juani mpaka jioni then nachemsha
Nimazuri sana nauza 10,000 tu kwa chupa
0714547830-karibu mamy
 
Mafuta ya Nazi napika mwenyewe nyumbani

Nachukua Nazi yangu kavu iliyokomaa vizuri nakuna taratibu nachuja tui langu Mara moja nalianika juani mpaka jioni then nachemsha
Nimazuri sana nauza 10,000 tu kwa chupa
0714547830-karibu mamy

Hayo yanakuwa kiasi gani? yaani ml ngapi?
 
Tumia Shea Butter, ninauza raw shea butter kutoka Ghana. Ni nzuri mno, tumia kama sealant na moisturizer pia ukitaka nywele zikue vizuri changanya na Coconut oil na castor oil
 
Argan oil mazuri sana hata castor oil pia ila u blend Na Mafuta mengine maana ni mazito
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Duuuuu kila Mtu anataja mafuta yake, sasa anunue yapi aache yapi?
 
Back
Top Bottom