Ummesh
JF-Expert Member
- Dec 20, 2015
- 2,077
- 1,144
Sana mkuu. Ni hatari mno.View attachment 374992ishu zinazohusika na damu ni za kuepuka kabisa
Sana mkuu. Ni hatari mno.View attachment 374992ishu zinazohusika na damu ni za kuepuka kabisa
Me naona miaka 30 itakuusu mda si marefu kuwa makini mkuu ucje ukaisoma namba maana izi ni zama mpya
Vampire [emoji23][emoji23]Hakuna madhara yoyote mkuu, huo mkwara tu. Watu wamekula yamini Kanisani na bado wamesalitiana sembuse ninyi wazinifu mliokubuhu!!
Alafu unaanzaje kunywa damu damu za wengine, wewe na mzinifu mwenzako mna viashiria vya vampire.
ALMAUCHIZI NA MAUCHIZI.Ama kweli al junun funun!
Mkuu wa Kaya hebu tupe semina kidogo kaka. Hili ni ndani ya 18 yako.Kiapo cha kula yamini
Nilitegemea utasema neno said.. .View attachment 374992ishu zinazohusika na damu ni za kuepuka kabisa
Kiapo cha kula yamini
Kuna post yake ngoja nikualikeNilitegemea utasema neno said.. .
Takutag pahala ujeMkuu wa Kaya hebu tupe semina kidogo kaka. Hili ni ndani ya 18 yako.
Naomba Usisahau Mkuu.Takutag pahala uje
Mi pia usinisahauTakutag pahala uje
HahahAma kweli al junun funun!
ha haha ha ha nimecheka kwa lazimaHakuna madhara yoyote mkuu, huo mkwara tu. Watu wamekula yamini Kanisani na bado wamesalitiana sembuse ninyi wazinifu mliokubuhu!!
Alafu unaanzaje kunywa damu damu za wengine, wewe na mzinifu mwenzako mna viashiria vya vampire.