Wanaposema asizidi miaka 45 Wana maana aweze kutumikia Serikali at least 180 months ili a- qualify kulipwa pensheni.
Kinyume na hapo labda ajiriwe kama temporary servant na sio permanent and pensionable
kuna sababu kuu mbili ambazo zinafanya watu wa kaskazini mashariki waonekane weupe na kusini magharibi waonekane weusi.
1; ASILI
Hii ndiyo sababu kuu ambayo inatofautisha muonekano wa watu ndani ya Tanzania.
kaskazini mashariki /kaskazini wengi wao sio wabantu mfano mchaga sio mbatu, Wairaq...
Mimi sio mwanasheria ila naona kama taarifa hii imekuwa overrated na mleta Uzi, CAG hawezi kuwa juu ya Raid , ukiachana na ulazima was Raid kupeleka ripoti Bungeni bado Rais ana mamlaka hata ya kumuondoa CAG endapo mkaguzi akishindwa kufanya baadhi ya mambo.
Kuna utaratibu maalum / mchakato wa...
Inasemekana hadi watumishi walioajiriwa 2014 wako mbioni kupanda maana barua zao tayari zishaandaliwa.
Tunataka kufahamu siri inayofanya Mbeya jiji wapande haraka wakati kuna baadhi ya halmashauri hawajapanda tangu 2012.
Hapo mnaigwa mkuu, hakuna utartibu kama huo uliopangwa na serikali.
Halmashauri ya Rungwe wana mambo ya ajabu ajabu kweli aisee.
Kuanzia kwa wakuu wa Idara wengi wao wamekaa kirushwa rushwa tu.
Hata hilo lazima kuna mtu nyuma ya pazia.
Kwa biashara ya kiazi lakini nane haitoshi, hicho ndicho kinacho mshangaza huyo jamaa.
Viazi mviringo ni biashara nzuri ila kinahitaji mtaji uwe mkubwa kidogo
Kama hutojali, Sogea Mbeya kuna viazi vingi , vya aina mbalimbali, utanunua kiazi unachokitaka na kinachohitajika sokoni.
Maana kuna aina za viazi zaidi ya 30.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.