Wakati watumishi wa Kisarawe walio ajiriwa kuanzia mwaka 2012 hawajawahi kupanda madaraja lakini Mbeya Jiji wamepanda wote hadi wa mwaka 2013.

Kupanda madaraja maana yake Ni kuongeza gharama kwa upande wa serikali. Lazima kuwa na mafungu ya kutosha kulipa . jiulize sehemu yako ya kazi umebadili Nini na mabadiliko gani umefanya kwa taifa lako ili upande daraja na serikali ione umuhimu wa kuongeza gharama kwa upande wako.#team JPM
 
Tatizo la maafisa utumishi ni kilio cha nchi nzima na chimbuko ni menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora. Izembe unaanzia Kule na kuishia kwa afisa utumishi kisarawe. Mheshimiwa tafadhali ambaye Mimi ni mwanatimu yako. Wizara na maafisa utumishi wanatuchonganisha na wapiga kura wako. Kwanza Kepteni hawezi kukimbizana na changamoto za watumishi wa umma, umri na nguvu. MPE Kijana Makamba awabane hawa Miungu watu au mwingine uonaye anafaa. . Afisa utumishi akiingiza majina kwenye mfumo, pasipo kuhonga approvers huko Dodoma, hayo madaraja huyeyuka. Ukiona Kisarawe hawapandi madaraka maana take no kwamba wilaya haitoshi rushwa kuwahonga approvers huko Dodoma. Kwa masikitiko, wilaya hulazimika kutoa rushwa ili watumishi wake wapande madaraja. Kama huamini, itisha kikao na maafisa utumishi alaf waambie waandike kinachowatokea wanapoingiza majina kwenye mfumo ili kuomba approval Dodoma. Pia ofisi ya utumishi makao makuu ichunguzwe kuanzia masijara hadi kwa wakurugenzi. Kuna mrundikano wa barua na mafaili pasipo sababu
Kiongozi umezungumza kitu kikubwa sana na hata jamaa yangu mmoja aliwahi kuniambia kitu kama hichi,kama kuna wasaidizi wa Rais watapitia hili andiko lako basi n vyema Rais akachukua hatua,kwakweli wafanyakazi wananyanyasika sana kwenye maswala haya ya kupandishwa daraja,recaterization ndo usiseme kabisa?!?!

Sent from Nokia 7 Plus
 
Ama haujui ulisemalo au unataka mumridhisha unayemtumikia. Haujui kwamba ni utaratibu wa serikali kwa watumishi wa umma kupanda madaraja?, Yangekwama madaraja kwa wote sawa, inakuwaje nchi moja mkoa huu wapande ule wasipande?, Wilaya moja, huyu apande yule asipande?. Kubebana ni kwingi mno. Basi wafuate utaratibu wa jeshi, mnapewa mtihani wanaofaulu wanapandishwa waliofeli wanasubiri. Utaratibu wa sasa unashawishi upendeleo na rushwa. Tunahitaji mabadiliko ktk eneo hili
Kupanda madaraja maana yake Ni kuongeza gharama kwa upande wa serikali. Lazima kuwa na mafungu ya kutosha kulipa . jiulize sehemu yako ya kazi umebadili Nini na mabadiliko gani umefanya kwa taifa lako ili upande daraja na serikali ione umuhimu wa kuongeza gharama kwa upande wako.#team JPM
 
Inasemekana hadi watumishi walioajiriwa 2014 wako mbioni kupanda maana barua zao tayari zishaandaliwa.
Tunataka kufahamu siri inayofanya Mbeya jiji wapande haraka wakati kuna baadhi ya halmashauri hawajapanda tangu 2012.
 
Wabongo tunakuwa kama nyumbu.

Ninyi mshaambiwa watumishi ni wengi na wanalipwa mishahara kuliko uzalishaji.

Kinachizalishwa na watumishi bado hakiakisi mapato directly kutoka kwa kundi tajwa, ni kweli watumishi tunafanya kazi kubwa na tunalipa kodi mapato makubwa yanaonekana kuanzia kwengine, uchukuzi nk

Hoja ya kwanza, Pili, vyeti feki, mishahara au vyeo vsingeweza kupandishwa wkt kuna wanaoghushi, baada ya hapo , likabaki kundi tendakazi, likafanyakazi nzur, uzalishaji ukaakisi kundi lengwa why not mshahara na madaraja yasipande,

Kama una fikra nzur, tangu 2016 hakuna aliyepanda tukiulizana kiuhalisia. Kwa mini

1. Vyeti feki. Mkuu hivi unadhani kwenye vyeti feki wamekwisha?? Forget it.bado wapo, Katika historia baada ya biashara ya utumwa kukomeshwa, bado ilifanywa kwa kificho cha hali ya juu, Mkuu, bado wamejificha kupita Maelezo. Rais ana akili sana. Huwezi hata wewe ukamlipa MTU ambaye hayupo. Kuna kitu kinafanywa bado na nadhani wakioghushi wanapitiamo, mifumo ya payrol bado anaweza akajificha fake certificate.

2. Utendaji kazi kikanjanja. Ujanjaujanja Mkuu maofisni ni mkubwa bado. Pana watu walipandishana masaraja kama alivyosena Mkuu mmoja hapo juu, kujuana , urafiki , mkuu pana watu wategaji, anakwenda kazin na kurudi nyumban, hii kitu sio kabisa. Umbea kazin, serikali bana. Nashauri serikali iangalie sana. Watumiahi kwenda kupiga stori na kurudi. Kum.ani.na. inakera hujuibtu sasa inapokuja opras, Mkuu wewe ijaze tuusichoke, fanyakaz kwa ujuz,bidii,maarifa. Tusubiri rais atasemaje. Ndio Mkuu wa utumishi. Atatuona.

Ova

Ngoja siku moja huyo shemeji yako atumbuliwe kwenye hicho cheo cha ukuu wa wilaya ndipo akili yako ya kufikiria itakapo ongezeka. Kwa sasa endelea tu kupiga shikamoo na kufungua mageti.
 
Ama haujui ulisemalo au unataka mumridhisha unayemtumikia. Haujui kwamba ni utaratibu wa serikali kwa watumishi wa umma kupanda madaraja?, Yangekwama madaraja kwa wote sawa, inakuwaje nchi moja mkoa huu wapande ule wasipande?, Wilaya moja, huyu apande yule asipande?. Kubebana ni kwingi mno. Basi wafuate utaratibu wa jeshi, mnapewa mtihani wanaofaulu wanapandishwa waliofeli wanasubiri. Utaratibu wa sasa unashawishi upendeleo na rushwa. Tunahitaji mabadiliko ktk eneo hili
Sijakataa standing order zinaagiza hivyo ila haijalishi umekaa hapo muda mrefu hujaleta tija unasubiri upande daraja .ongeza bidii na uwe mbunifu Sana.
 
Kuna mtu ameamua kuacha kazi aliajiriwa tangu 2010 hadi anaacha mwezi uliopita hajawahi kupandishwa ngazi ya mshahara.Japo wapo walioajiriwa naye walipandishwa.Kisa afisa utumishi alimchukia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Performance yake mnaijua ikoje? Kama hafanyi vyema nani anamuongezea mshahara? Mshahara siyo offer mkuu. Ni award kwa kazi nzuri uliyoifanya. Ukichemka hakuna nyongeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itaendelea kusemekana
Inasemekana hadi watumishi walioajiriwa 2014 wako mbioni kupanda maana barua zao tayari zishaandaliwa.
Tunataka kufahamu siri inayofanya Mbeya jiji wapande haraka wakati kuna baadhi ya halmashauri hawajapanda tangu 2012.
 
Sijakataa standing order zinaagiza hivyo ila haijalishi umekaa hapo muda mrefu hujaleta tija unasubiri upande daraja .ongeza bidii na uwe mbunifu Sana.
Kuna wilaya moja watu wana barua tangia2018 lakini mshahara haujabadilika hadi leo. Wakaamua kwenda wenyewe dodoma. Kila aliyeenda dodoma mshahara ulibadilika mwezi uliofuata na ambaye hakwenda hadi leo anasota na barua yake.
Nenda Dodoma mkuu
 
Ilikuwa pamoja na wiraya ya urambo kabla haijagawanywa mkoa wa tabora

Sent using Jamii Forums mobile app
Mcheki Mkurugenzi wako john Pima anaweza saidia ila swala hili ni kilio cha watumishi wengi mm toka 2012 sijapandishwa kazi nafanya kwa kujilazimisha tu alafu eti unauliza kwanini watoto wanafeli mtu mwenye akili awezi kuuliza swali km ilo alafu kwa ujinga wa viongozo Wa mikoa wao wanadhani kuongeza muda Wa kufundisha ndio utauleta mabadiliko yani nchi hii inavituko sana mtu hapati stahiki alafu utegee mazuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom