Uchumi wa jimbo moja la MAREKANI Ni MKUBWA kuliko GDP za nchi kama SAUDI ARABIA, RUSSIA, UK. Marekani itadumu kuwa Superpower?

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
Calfonia GDP yao mwaka jana ilikuwa $ 2.75 Trillioni wakati United Kingdoms ilikiwa ni $ 2.62.
Kama Calfonia ingekuwa ni nchi, Basi ingekuwa nchi ya Tano Kwa Utajiri Duniani ikizipiku India, Utaransa na uingereza.

Pamoja na mbwembwe zake zote za mafuta Saudi arabia uchumi wake haufikii uchumi wa jimbo sio tu la Texas ambalo ni la pili kiuchumi US bali hata Pennsylvania ($752 Billioni), Au Illinois ($ 820 billioni) Wakati wasaudia wao ni $683 Bilioni.

NEW YORK tu ambayo ni jimbo la tatu kiuchumi marekani kama ingekuwa nchi, Ingekuwa nchi yenye uchumi mkubwa duniani kuliko Korea kusini, Russia na Australia
Wakati Sauth Korea ilihitaji watu wafanyakazi milioni 27.9 kuzalisha uchumi wao, New York ilihitaji Workforce ya Millioni 9.7 Kuzalisha uchumi unaozidi wa nchi ya south korea.

Kama mwaka jana majimbo ya Califonia, Texas na New York yangekuwa ni nchi moja basi Ingekuwa ni nchi ya tatu kwa uchumi Duniani nyuma ya china na Marekani na mbele ya Japan.

source

aei.org

US bado ni Superpower wakuu, Upenzi usio na ushabiki unaonyesha hili licha ya spidi ya china.

karibuni wakuu mbalimbali kwa maoni.
 
Calfonia GDP yao mwaka jana ilikuwa $ 2.75 Trillioni wakati United Kingdoms ilikiwa ni $ 2.62.
Kama Calfonia ingekuwa ni nchi, Basi ingekuwa nchi ya Tano Kwa Utajiri Duniani ikizipiku India, Utaransa na uingereza.

Pamoja na mbwembwe zake zote za mafuta Saudi arabia uchumi wake haufikii uchumi wa jimbo sio tu la Texas ambalo ni la pili kiuchumi US bali hata Pennsylvania ($752 Billioni), Au Illinois ($ 820 billioni) Wakati wasaudia wao ni $683 Bilioni.

NEW YORK tu ambayo ni jimbo la tatu kiuchumi marekani kama ingekuwa nchi, Ingekuwa nchi yenye uchumi mkubwa duniani kuliko Korea kusini, Russia na Australia
Wakati Sauth Korea ilihitaji watu wafanyakazi milioni 27.9 kuzalisha uchumi wao, New York ilihitaji Workforce ya Millioni 9.7 Kuzalisha uchumi unaozidi wa nchi ya south korea.

Kama mwaka jana majimbonya Calfonia, Texas na New York yangekuwa ni nchi moja basi Ingekuwa ni nchi ya tatu kwa uchumi Duniani nyuma ya china na Marekani na mbele ya Japan.

Nchi zote za Africa ikiwemo south Africa na Nigeria..uchumi wake haufiki $ 2 trillion. Wakati USA yenyewe peke yake uchumi wake ni zaidi $16.trillion. Halafu hapo Jiwe anasema Tanzania ni nchi tajiri sana...na haitahitaji msaada.
 
fafanua ni super power kwa upande upi?uchumi,kijeshi,kielimu,kisiasa nk
 
Nchi zote za Africa ikiwemo south Africa na Nigeria..uchumi wake haufiki $ 2 trillion. Wakati USA yenyewe peke yake uchumi wake ni zaidi $16.trillion. Halafu hapo Jiwe anasema Tanzania ni nchi tajiri sana...na haitahitaji msaada.
Mkuu na fanya correction, uchumi wa USA ni $20trIllion madeni ni$ 16 trillion China inawadai $5Trillion madeni ya ndani ni $11Trillion.....uchumi wa Tz ni $19bn madeni hatuyajui ila mda wowote tutakua donner country kwa nchi za wazungu
 
Sio Kila Data Ya Hao Jamaa Ni Ya Ukweli
Wanapenda Sana Sifa Hao Zinduka
mkuu hiyo ni makala ambayo imechukua takwimu halisi.
ikiwa kuna utata unaweza kuweka nzuri na sahihi zaidi ambazo haziwapendelei ili tujifunze.

1542106215409.png

hapa kama majimbo yangekuwa ni nchi
 
Mkuu na fanya correction, uchumi wa USA ni $20trIllion madeni ni$ 16 trillion China inawadai $5Trillion madeni ya ndani ni $11Trillion.....uchumi wa Tz ni $19bn madeni hatuyajui ila mda wowote tutakua donner country kwa nchi za wazungu
wewe kilaza upo dunia gani ebu toa aibu hapa uchumi wa Tz ni $56.7billion...
 
Back
Top Bottom