Kikomo umri wa kuomba ajira Serikalini

Kikomo umri wa kuomba ajira Serikalini

45 akipata connection au kama anabahati anapata maana kustaafu kwa serikali ya tz ni kifoo
 
Wakuu naomba msaada kuna ndugu ana umri wa miaka 45 na miezi 9 na anataka kuomba ajira serikalini, je anaweza kupata kwa umri huo?

Swali linakuja hiyo miezi 9 ilozidi haina tatizo?

Sheria inajulikana mwisho kuajiriwa ni 45, je ikizidi hiyo miezi tisa hakuna tatizo madam bado yupo kwenye age 45?

Asanteni
Nadhani huyo ndugu mwenye umri wa miaka 45 ni wewe mkuu.
 
Wakuu naomba msaada kuna ndugu ana umri wa miaka 45 na miezi 9 na anataka kuomba ajira serikalini, je anaweza kupata kwa umri huo?

Swali linakuja hiyo miezi 9 ilozidi haina tatizo?

Sheria inajulikana mwisho kuajiriwa ni 45, je ikizidi hiyo miezi tisa hakuna tatizo madam bado yupo kwenye age 45?

Asanteni
Wanaposema asizidi miaka 45 Wana maana aweze kutumikia Serikali at least 180 months ili a- qualify kulipwa pensheni.

Kinyume na hapo labda ajiriwe kama temporary servant na sio permanent and pensionable
 
naam nimekufahamu mkuu shukran
 
Miaka 45, labda Kwa mkataba, mshauri tu kama ana CV nzuri aombe private.
 
Kama umri huo bado anawaza kuajiriwa aisee basi jamaa hayupo serious. Miaka 45 Tanzania hii bado unatafuta ajira.
 
Ukishafika umri huo huwa tunaweka vyeti sandukuni na kuanza harakati mpya za kujiajiri mitaani. Ni umri mzuri unaweza kukimbiakimbia huku na kule kutafuta fursa. Sio umri mzuri kuombaomba ajira popote pale kama ujuzi wako si valued. Ziko fursa nyingi sana za ku maintain economy na kuwa stong kuliko kukimbilia kuajiriwa wakati ujuzi ulio nao hauhitajiki
 
Inategemea mkuu kama mtu ana phd na ni professor ?
Proffesor na PhD hizo ni Onjob Academic qualification Mkuu..

Hakuna Professor Ambaye kipindi anapewa uprofessor alikuwa Just yuko Home tu..laZima awe ameajiriwa sehemu Vivo hivyo Phd..

So ni structly Considered Kuwa Ni onjob qualification
 
Yeah i understand this man. But look at this situation man, nna ndugu alikuwa anafanya kazi ufaransa na alikuwa ana phd tayari akawa anatudisha majeshi home like he wanted to re allocate tanzania permanenty, mazima akakutana na post ya kazi sua akaaply akapata ila tu he did not take the post akasema maisha tanzania magumu amerudi france na hii situation utaiongeleaje mkuu ?
 
Wakuu naomba msaada kuna ndugu ana umri wa miaka 45 na miezi 9 na anataka kuomba ajira serikalini, je anaweza kupata kwa umri huo?

Swali linakuja hiyo miezi 9 ilozidi haina tatizo?

Sheria inajulikana mwisho kuajiriwa ni 45, je ikizidi hiyo miezi tisa hakuna tatizo madam bado yupo kwenye age 45?

Asanteni
Miaka 45 na zaidi ruksa kuomba kama ni nafasi ya management ya juu
Sio nafasi za chini
 
Wakuu kiukweli vyuoni kila ukiwa 'na elimu yake juu zaid senior kwenda juu ,ndo unahitajika zaidi,si kamanda kazi nyingine 'na vyuo vinakugombania

ila hiyo sheria y umri ndo alitaka kuhakikisha.
.Na saiv 45 still brain inafanya kazi vizuri sanaa
Na kiafya 45 ya siku hizi bado upo viti kabisa
 
Back
Top Bottom