Asante Mungu wangu nimekosa nafasi niliokua nasubiri, naomba aniongoze vema next time niweze kufanikiwa either kwa kufanya interview nyingine wakitoa au kwa kufanikiwa kwa mengine tunayopambana.. either ya yote namshukuru Mungu kwa uhai na afya njema.
Bado siamini kama ni kweli kwasababu kuna ambao iliandikwa selected lakini ata data base hawakuwepo na kufatilia majibu ni fail.. unless kulikua na uchakachuaji labda
Ata me naona kumekuwa kugumu asee.. hapa nawaza kilimo cha irrigation au ata kujishikiza kwenye car wash.. maana huwezi jua Mungu katupangia wapi wengine kutoboa
Status haifanyi kazi kuna mtu alikua selected lakini akupata post akaenda kufatilia kwanini maana mda mrefu sana umepita na kanzi data hayupo wakamwambia alifeli, so status hazifanyi kazi sasa sijui kuna uchakachuaji pia wanafanya au lah
Saivi mada itakua sio tena kwanini utumishi wanachukua mda mrefu kupost placement na itakua kwanini utumishi wanatoa placement ndogo ndogo kwanini wasitoe kwa ujumla
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.