Lupe Tz
JF-Expert Member
- Aug 7, 2021
- 259
- 911
Eee kaka Tunaishi tu kwa Matumaini kwamba kuna siku Mungu atatukumbuka piajobless wenye matumaini
Eee kaka Tunaishi tu kwa Matumaini kwamba kuna siku Mungu atatukumbuka piajobless wenye matumaini
Ndio mkuuWale CDO's watu 800 sio
Mmh kwa usiri ulio psrs amezwezaje kuambiwa alifeli mkuuStatus haifanyi kazi kuna mtu alikua selected lakini akupata post akaenda kufatilia kwanini maana mda mrefu sana umepita na kanzi data hayupo wakamwambia alifeli, so status hazifanyi kazi sasa sijui kuna uchakachuaji pia wanafanya au lah
Kwa idadi 800 mtaitwa mafungu mafunguNdio mkuu
Naweza nikasema labda pengine wapo sababu kuna wengine wengi wamelamba asali hawapo humu nao wangetoa shuhuda tungewapata, anyway jobless tunamatumaini makubwa sana kikubwa tusikate tamaakuna mtu??
sema cc tunataka mwenye not selected halafu kapata placement ili amalize huu utatq.
Ukienda kulalamika unaonyeshwa marks zakoMmh kwa usiri ulio psrs amezwezaje kuambiwa alifeli mkuu
Duh kumbee!!Ukienda kulalamika unaonyeshwa marks zako
Kbsa anyooshe maelezookuna mtu??
sema cc tunataka mwenye not selected halafu kapata placement ili amalize huu utatq.
nikweliWatoe mikeka ya kueleweka kama NCAA wanavyofanya ,sio utopolo huu wa kutoa jina moja wakati nafasi zilizotangazwa50+ ,ujinga huu kupotezea muda watu
Hao usitegemee watakupa majibu ya direct wanajua wakifanya hvyo kunachangamoto zitatokea kwa vijana na kwao PSRS ...Status haifanyi kazi kuna mtu alikua selected lakini akupata post akaenda kufatilia kwanini maana mda mrefu sana umepita na kanzi data hayupo wakamwambia alifeli, so status hazifanyi kazi sasa sijui kuna uchakachuaji pia wanafanya au lah
hongera sana mkuuHakika wakati wa MUNGU ni wakati sahihi, Hatimaye na mimi leo nimefanikiwa kulamba asali.
Namshukuru sana Mwenyezi MUNGU kwa busara na uvumilivu alionipatia ktk hili pamoja na ndugu na jamaa wote wa jukwaa hili kwani kwa pamoja kumenifanya kushindwa kukata tamaa.
Ahsanteni sana.
hhhhhh huu uzi unabust kifurushi cha subira jamaa angu, siwezi kata tamaa kirahisi.Steling ndugu yangu ulipotelea wapi... au umekata tamaa tayari? wakati ukiwa bado haujafika unahisi kama Mungu kakauacha lakini kila mtu na wakati wake aise
majibu ya kufupisha mazungumzo. 😃😃😃Mmh kwa usiri ulio psrs amezwezaje kuambiwa alifeli mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] anadai KUNA MTU.majibu ya kufupisha mazungumzo. [emoji2][emoji2][emoji2]
😄😄😄[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] anadai KUNA MTU.
Wawafurahishe vijana, mwisho wa week huuKwa hyo siku ndo inapita kwa pdf la taasis moja ( ncaa ). ??
IT tupia pdf la taasis mbalimbali tumalize nalo siku.
Sasa kama uyo mtu aliambiwa hakufaulu kwann iandikwe selected? Na wale wenye not selected means hakufaulu au just not selected ?! Mjiulize tu..kuna mtu??
sema cc tunataka mwenye not selected halafu kapata placement ili amalize huu utatq.