HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hakika wakati wa MUNGU ni wakati sahihi, Hatimaye na mimi leo nimefanikiwa kulamba asali.

Namshukuru sana Mwenyezi MUNGU kwa busara na uvumilivu alionipatia ktk hili pamoja na ndugu na jamaa wote wa jukwaa hili kwani kwa pamoja kumenifanya kushindwa kukata tamaa.

Ahsanteni sana.
Bravo kaka..

Ukawe mtumishi mwema..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paper ya Leo
Kada : marketing ( tutorial assistance)

1. What is point of view between strategic plan and marketing activities
2. Purpose of marketing research in organization
3. Describe factors hinder marketing orientation culture on public sector
4. Describe seven types of promotion programm

## kama siku ukiwa unaenda kufanya izo interview za utumishi kada ya tutorial assistance kumbuka kubeba transcript ni muhimu sana usije kupoteza muda na pesa Yako Bure
Cjuh hapa katikati watu walivurugwa but ilikuwa kawaida yetu mtu akitoka kwenye mkando iwe n written au oral anaweka maswali hh kitu ilikuwa nzuri sana wadau turudi kwenye huu msingi
 
Safii mkuu hii itasaidia wengine weny Interview.
 
Cjuh hapa katikati watu walivurugwa but ilikuwa kawaida yetu mtu akitoka kwenye mkando iwe n written au oral anaweka maswali hh kitu ilikuwa nzuri sana wadau turudi kwenye huu msingi
Ni msingi mzuri sana, me nimetafuta watu wa database administrator au data analyst imekuwa changamoto, ila kama maswali yakitumwa hapa inakuwa ni rahisi sana.
 
Kuwa kama Sam mirror yeye pamoja na status yake kuwa Not selected for all bado hajakata tamaa anajua ridhiki inatoka kwa Mungu peke yake
Status haifanyi kazi kuna mtu alikua selected lakini akupata post akaenda kufatilia kwanini maana mda mrefu sana umepita na kanzi data hayupo wakamwambia alifeli, so status hazifanyi kazi sasa sijui kuna uchakachuaji pia wanafanya au lah
 
kuna mtu??

sema cc tunataka mwenye not selected halafu kapata placement ili amalize huu utatq.
 
Back
Top Bottom