HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Asante Mungu wangu nimekosa nafasi niliokua nasubiri, naomba aniongoze vema next time niweze kufanikiwa either kwa kufanya interview nyingine wakitoa au kwa kufanikiwa kwa mengine tunayopambana.. either ya yote namshukuru Mungu kwa uhai na afya njema.
 
Pole mkuu database ipoo usikate tamaa alwys next time
 
Hongereni mliolamba asali ...Mungu awasimamie katika Utumishi mwema...
 
Back
Top Bottom