ojd
Member
- Jul 18, 2023
- 20
- 59
Kuna watu wafatiliaji hakukubali hadi akaenda ofisini kwao maana alihisi amefanyiwa mchezo mchafuMmh kwa usiri ulio psrs amezwezaje kuambiwa alifeli mkuu
Kuna watu wafatiliaji hakukubali hadi akaenda ofisini kwao maana alihisi amefanyiwa mchezo mchafuMmh kwa usiri ulio psrs amezwezaje kuambiwa alifeli mkuu
Mzee izo mambo za kufikirika...hadithi za mtu aliambiwaa hazina mashikoSasa kama uyo mtu aliambiwa hakufaulu kwann iandikwe selected? Na wale wenye not selected means hakufaulu au just not selected ?! Mjiulize tu..
Anatuambia KUNA MTU.... sasa sijui huyo mtu sisi tutamjuaje...Mzee izo mambo za kufikirika...hadithi za mtu aliambiwaa hazina mashiko
Unaeza ukjiona umejibu vzr na ukakandwa acha mambo za kujimwambafay hapa mzee ....omba mungu upite matambo hayana maanaTulieni vijana wa status
NAANDIKA KWA MAANDISHI MAKUBWA STATUS HAINA UHUSIANO NA PLACEMENT NIMEJITOLEA KUWA CHAMBO NILIVYOJIBU MASWALI NA MAELEZO YA WATU WA PSRS NATOBOA.
Ko mtulie unaweza kuwa na selected afu umekandwa
Za ndani kabisa after kuchaguliwa oral habari za status zinaishia apo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaeza ukjiona umejibu vzr na ukakandwa acha mambo za kujimwambafay hapa mzee ....omba mungu upite matambo hayana maana
Tulia mkuu selected yako isikupe kibuli na kuona wengine wamekwama kwa vitu vya kujitungia mamlaka wala haisemi ivoUnaeza ukjiona umejibu vzr na ukakandwa acha mambo za kujimwambafay hapa mzee ....omba mungu upite matambo hayana maana.
Nitafanya ivyo yaani ata ww ukiona AICC wametoa keka nitag mkuuInabidi PSRS watoe pdf zote ikiwemo na aliyofanya sam mirror 1 ili aje atoe ushuhuda ili kuondoa huu utata
Huo ushuhuda utakuwa wa moto sana😄😄😄Inabidi PSRS watoe pdf zote ikiwemo na aliyofanya sam mirror 1 ili aje atoe ushuhuda ili kuondoa huu utata
Pamoja sana,,Nitafanya ivyo yaani ata ww ukiona AICC wametoa keka nitag mkuu
Mwenyezi Mungu akubaliki.
😂😂 Itakuwa hatari sana siku hiyoHuo ushuhuda utakuwa wa moto sana😄😄😄
Tuko pamoja mkuu.Pamoja sana,,
sema wewe jamaa una imani sana mimi ni mwepesi wa kuvunjika moyo yani watu wanavyoongea kuhusu hii not selected mimi ningekuwa sina matumaini tena
Keep it up 👊👊
Usijali mkuu nami nasubili kwa hamu nijue maneno ya watu was psrs ni uongo ama umu ndo tunamezeshana uongo.😂😂 Itakuwa hatari sana siku hiyo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]PSRS waendelee kutoa mikeka watu watoke uraiani aisee !
IT fanya mambo , piga double double kama ulivyofanya majuzi ,au ikibidi triple mikeka
Kutokana na psrs wanadai ivo mi Ni Nani jobless nipinge.Nilijua tu Sam mirror lazima atokee yani suala la status sam mirror kwake halina mantiki kabisa
[emoji3][emoji2]Kutokana na psrs wanadai ivo mi Ni Nani jobless nipinge.