Kukosa washauri, ujuaji mwingi na kuangalia boom kuna wapotozea watu wengi malengo na kujikuta wanahangaika badae. Mfano kuna dogo kapata DIV 1 ya 6 PCM kaacha kusoma course za engineering kakimbilia ualimu wa physics na math kisa kapata Samia scholarship na chuo kachaguliwa UD.
Kwa mujibu wa baadhi ya watu wanasema ni tatizo la kimtandao maana hata baadhi ya ambao wako chuoni na wanapokea mkopo wametumiwa hiyo txt. Ila kwa uhakika zaidi check hiyo account kama iko sawa au wapigie loan board
Kwahiyo nawewe ungekua boss ungempatia kazi mtu bila kukutana nae wala kumfaham kiundani?. Ni taratibu za kawaida za kikazi kabla ya kukabidhiwa majukumu fika ukakamilishe ulichokianzisha. Kuhusu mshahara ni wewe na mbinu zako jinsi ya kunegotiate maana taasisi ninyi za private hazina salary...
Inategemea na idadi ya interview zilizopo siku hiyo ila kama wanamuda wanapitia account ya kila mmoja wakikuta kama ukishawahi kuap load basi shughuri inaishia hapo.
Ila wapo wengine wanaojichoma wenyewe kwa kubeba mavyeti mengi nilishudia kama mara mbili mmoja ilikua interview ya diploma lakini...
Endeleea kupambana na kazi za shahada
Mfumo wa kutoa vyeti walishaufuta zamani kwa sababu kulikua na usumbufu watu walikua wanapiga kuanzia za chet hadi shahada.
Kitu kingine kilichosababisha ule mfumo ufutwe ni mtu alikua na degree then anaomba kazi za chet akifika kazi anaanza kusumbua...
Well said nakumbuka oral yangu yakwanza kufanya tulikua 10 na ilikua heavy sababu hakukua na swali la mention yote yalikua explain na watu wankukazia kabisa ila nashukuru Mungu ile taasisi ilichukua watu wake wawili tuliobaki wote tumepangiwa taasisi tofauti ingawa kila mtu kwa muda wake maana...
Hakijabadilika ila imeniletea option ya kudownload complete form ikiwa na hizi signed page. Pia kuna option ya kusubmit nikiclick inaniamba already submitted
Inabidi kuwa na uvumilivu maana unasubir placement kwa muda mrefu ikitoka napo unasubiri mda mrefu tena kupigiwa simu kwajili ya training na kuanza kazi. Wasaka ajira tunapitia mlolongo mrefu sana
June tu hapo unasema zinachelewa wakati watu wengine wanamiezi ata sita kitu cha muhimu ukifanikiwa kuingia oral we fanya hiyo oral then endelea na mitikasi yako mingine otherwise utapata depression. Me nakumbuka nilipiga oral mbili mfululuzo katika week mbili katika taasisi zenye asali kubwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.