ohio
Member
- Oct 29, 2020
- 55
- 128
Endeleea kupambana na kazi za shahadaAmina,, naomba kusaidiw jmn mwajiri anataka sifa ya astashahada wakat mm nina shahada,, nmetaka kusubmit tu mfumo ukakataa, nisaidien nifanyeje maana napitwa na nafasi nyingi jaman,, nataka niondoe hicho chet kinacholeta shida kwenye mfumo wa ajira portal naomba msaada pliziiii
Mfumo wa kutoa vyeti walishaufuta zamani kwa sababu kulikua na usumbufu watu walikua wanapiga kuanzia za chet hadi shahada.
Kitu kingine kilichosababisha ule mfumo ufutwe ni mtu alikua na degree then anaomba kazi za chet akifika kazi anaanza kusumbua kupandishwa cheo.
Sikuhizi naona wako very strict kuna mchizi alichomolewa kwenye mstari wa kusubiria kuingia kwenye chumba cha oral kwa kesi kama hii (alifanya interview ya diploma akiwa na received ya kazi za degree) akawa amepoteza muda na nauli bure