uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,703
- 37,944
Nenda b
Nenda bro, nauli sio shida hata ikipotea, ila usiwaamini ukavuruga kazini kwako.
Na inaonekana umeshakuwa na uhakika na kila kitu na judgements zako, sasa sijui umefuata nini huku?
Kama umejirizisha na hauna wasiwasi, basi huna haja ya kuja huku jamii forums.
Mkuu Mimi niliomba kazi kupitia LinkedIn nilifollow companies na pia nilikua naandika kwenye search engine CEO na hr managers majina yakawa yanakuja ya CEO tofauti tofauti na pia hr tofauti tofauti nikawa nawaomba nitumie CV waangalie kama nitapata kazi au waniweke kwenye database zao kazi zikitokea waniite ndo huyo mzungu akaniambia nimtumie CV yangu nikamtumia
Akapiga simu tukaongea vizuri akaniambia niende akanione physically pia tufanye interview nyingine ya panel inamaana hatokua pekeyake kwenye hiyo interview ya pili