Recent content by OHB11

  1. OHB11

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Kwanza kabisa naungana na baadhi ya wadau wengine app ya Jamiiforum ni mbovu sana nimefuta nimerudisha web version😄 Huu mwaka unaishia vizuri sana aisee Mpaka resurrection ikiwa hewani naimani Mobland season 2 itakua imesogea and Slowhorses itakua imekamilika.
  2. OHB11

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Mengi sana aisee 😄
  3. OHB11

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Slow Horses season 6 1 ep iko hewani🔥
  4. OHB11

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Jinsi dhana ya "Utatu" na Mungu kuwa na "Mwana" inavyomshusha hadhi Mwenyezi Mungu

    سبحان الله Ametakasika Mwenyezi Mungu na wanayomzulia washirikina Aya kama hizi hutozikuta kwenye kitabu kingine chochote, wala mfano wake. Na hii ni sababu huwezi kukuta muislam hata layman akibabaika na ukweli juu ya dini yake, hilo wanabaki nalo washirikina na wenye akili isiyo salimika...
  5. OHB11

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Daah ukame wa series KALI za kucheki umekua mkali Nimeanza upya Breaking Bad 😂 Ukame ukizidi itafuata YOU DEXTER then G.O.T Show kali za kucheki zimekua adimu sana these days. Mwenye recommendations ya show kali za genre hiyo aisee It will be appreciated.
  6. OHB11

    JamiiForums Tanzania Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

    Wanawake mnajidhalilisha wenyewe Mtu anasingizia eti alishawishiwa mpaka akatolewa bikra. Je huyu mwanamke angekubali kutembea uchi mbele za watu bila nguo kwa kushawishiwa tu? Wanawake jitunzeni na jistirini ili muheshimike Mtoa mada ameamua tu kusema ukweli mchungu ambao ni wajibu kwa kuwa...
  7. OHB11

    JamiiForums Tanzania Trump apandisha ushuru wa drones kutoka nje ya Marekani hadi 100%

    Hii administration ya Trump imejaa watu wasio na weledi kulinganisha na mataifa makubwa mengine kwenye wakati ambao ilibidi wawe na akili makini. Trump will be America's undoing.
  8. OHB11

    JamiiForums Tanzania Kidini unaruhusiwa kumuoa mtoto wa nje ya ndoa - Sheikh Kulunge

    Wakristo wao kila mada inayohusu waislam kazi kumwaga matusi. No rationality at all, Hujaruhusiwa kuoa huyo mtoto, kuonesha uzito wa jambo hilo kisheria ndiyo linawekwa kwenye mzani huo, kwamba mtoto wa zinaa sio wako kisheria na hivyo kama sio wako kisheria unaruhusiwa kumuoa Ni kuonesha...
  9. OHB11

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Nilikua nimeiweka standby nikisubiri ikamilike nidownload Kama ina UMAMA basi tena.
  10. OHB11

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Jina inaitwa Murder mindfully
  11. OHB11

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Daah hii game ni motoo🔥 Spain kosa kosa nyingi sana hii ni mbaya Ila tusuburi kushangazwa
  12. OHB11

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Imperfect women nimeimaliza, it was cool Nilichotoa humu ni kuwa Either you are loved or used to fill the void, don't be the latter. Sasa ngoja tuishi na wakorea baada ya kumalizana na Fool Me Once.
  13. OHB11

    JamiiForums Tanzania JF detox... Time 📴

    Mkuu uko na hali gani ulipo 😄😂
  14. OHB11

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Hii game ya Argentina Vs Swiss ni moto aisee Hili goli la mapema limefanya kandanda lichezeke barabara😁
  15. OHB11

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Asillimia kubwa ya wadau walikua washajipangia Argentina atakutana na Colombia as if Swiss watatolewa kirahisi 😂
Back
Top Bottom