JF detox... Time 📴

JF detox... Time 📴

No one is seeking
it's you who think so

It's you who think that everything one post's is to seek validation....

And your attempt is to humble that person sasa kwangu ni kama mnajisumbua tuu. Mimi huwa sina mda wa kuvumilia disrespect hata kidogo
Wakati unaingia humu kuna watu walikukaribisha ? Ondoka kimya kimya tu, sema huu mtandao una uraibu sana. Hakuna ambaye amekudharau ila unavyokuja ndivyo unavyopokelewa.
 
Wakati unaingia humu kuna watu walikukaribisha ? Ondoka kimya kimya tu, sema huu mtandao una uraibu sana. Hakuna ambaye amekudharau ila unavyokuja ndivyo unavyopokelewa.
Why should you think so?

Who said anahitaji kuagwa?

Why cares? Kwenye bandiko langu nimeaga mtu? Au nimeweka mawazo yangu? Be sane atleast ata uwe unasoma kwanza ndo ujibu posts.

Yaani wabongo vichwa huwa havina filter kabisa. And that shit weakens our society
 
"Relax Kijana, nilmeuliza swali wakati unajiunga humu ulikaribishwa ?, haujaombwa uandike thesis ya frustration. 😂"
 
"Relax Kijana, nilmeuliza swali wakati unajiunga humu ulikaribishwa ?, haujaombwa uandike thesis ya frustration. 😂"
Sina frustration

Wewe ndo umekuja na judgements conventional ulizomezeshwa na jamii kuhusu mtu kuandika mawazo yake.

Unakuja na negative vibes ili uonekane mjanja kumbe you're one looser ambaye anakuwa triggered by other's way of life.

Mimi kuandika kile nataka is none of your fucking business
 
Back
Top Bottom