herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 2,305
- 3,990
Asante kwa kujaTupoo
Asante kwa kujaTupoo
Utajikolea kitandan 😂🤣I wish Argentina all bad lucky 👎
Nililala bana.binti kiziwi njoo tuangalie hii mechi, Mimi natamani England itolewe japo najua Wanaweza kupita
Yaani jino limenilazimu kuamka aisee🙌🙌Nililala bana.
Wewe si ulisema hana lolote argentinaI wish Argentina all bad lucky 👎
Ningependa beki mmoja wa Swiss ajitoe kafara na messi abebwe na machelaI wish Argentina all bad lucky 👎
🚮🚮🚮Ningependa beki mmoja wa Swiss ajitoe kafara na messi abebwe na machela
Kama walivyomfanya Mo Salah ilikuwa makusudiNooo...
Wacheze tu.
Football is beautiful game
Dah pole kamamaa, dawa ya jino wanasema kuliondoa tu.Yaani jino limenilazimu kuamka aisee🙌🙌
Mjukuu wa penaldo kuambiwa uatajikolea kitandan ni matusi? 🤣😂 matako yako basi subiri uone Messi 🐐 akitia baoMatusi ya nini mdau?
Karibu Dar bintiDah pole kamamaa, dawa ya jino wanasema kuliondoa tu.
Miaka ya nyuma kuna uzi humu mwamba mmoja aliupandisha jinsi jino lilivomlaza uvunguni, uzi unachekesha sana japo sio jambo la kucheka 😅
Mi nimeamka sababu nasafiri na SGR ya kwanza .