Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,938
Balance shoboHow old are you ?
Balance shoboHow old are you ?
Nasikia tena Yamal I wish TV ipunguzwe sauti uwiiiiii 🙌Unaenda wapi?
Tulia sindano ikuingie vizuri
Punguza ujinga dogo mpira tu huu usikupe uwendawazimuBalance shobo
Kabisa.. huyu kipa sio wa kwenda nae penaltiDipu kaamka vizuri, Spain wajitahidi wamalize mechi ndani dk hizi 30,wakifika penati Argentina bingwa.
Dk 30 za Argentina kuteseka 😁Mpira umeisha tunaanza tena
Huyo peredes mwenyewe hatakiwi kuwa uwanjani, hiyo foul sijui ya ngapi na ana Yellow tayari
Punguza shoboPunguza ujinga dogo mpira tu huu usikupe uwendawazimu
Leo yamekuwa hayo🤣🤣🤣Spain shindeni tuwahi kulala basi