Recent content by Ogo

  1. Ogo

    Hii mikopo ya Mama Salma ni ya kweli? Au utapeli?

    Nimeshuhudia MTU kapigwa laki mbili HIV hivi na hao hao...baadae unaweza chati nao Mara wanajifanya makonda. Hamnazo hao
  2. Ogo

    Uzi maalum wa wanaJF ambao tuna imani kubwa na ushindi wa North Korea

    China... Uvamizi wa marekani kwa NK anasema utagusa maslai yake, hapa pagumu. Mchina ameingia vita nyingi vya korea ikiwemo ile aliyoingia wakati Korea kashindwa. Ili kuokoa na wakashinda.
  3. Ogo

    Korea kaskazini yaionya Marekani kuhusu kusogelea pwani yake

    Mi nadhani kwa mori walioonesha marekani pengne hiyo submarine ndo imemfanya mmarekani asishambulie Korea hadi Leo hiii na Atake kukaa mezani kwa kumtumia uchina kusettle situation. Sikudhani kama hadi leo ingefika marekani hajaivamia Korea. Korea kwa upande wake nadhan kaacha majaribio yake...
  4. Ogo

    Mauaji ya Polisi: Mwigulu azungumzia vilivyohisiwa visababishi vya sintofahamu hiyo

    Na he wakishapatikan wote itakuwa mwisho was swala hili.... Tumeshuhudia op kama hizi lakin still mauaji yanaendelea. Mi nadhan was I guess ila wstafute tatizo
  5. Ogo

    Mauaji ya Polisi: Mwigulu azungumzia vilivyohisiwa visababishi vya sintofahamu hiyo

    Ila watu wameporwa silaha japo... Sio uporwaji wajamen. Ujambazi wametak kuiba nini kwa maafande wetu. Kenya visa vyao vikoje
  6. Ogo

    Fursa 26 za Ajira TAKUKURU 2017

    Kuna kipindi cha uangalizi kisichopungua mwaka katika ajira ndo unathibitishwa. Pia elimu zote ni changamani hivyo inaaminika ujuzi uliopata katika kipind chore chart elimu yako kinatosha kukufanya use mwepesi katika mafunzo mafupi ya utaalam
  7. Ogo

    Tigo sasa mmenichosha

    Dakik zilikuwa 130 shekh
  8. Ogo

    Azam Tv mihemko itawapeleka shimoni

    "Heri kujikwaa kidole kuliko ulimi" waswahili walinena hivyo
  9. Ogo

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    "Chombo cha kuzama hakina usukani" hali ya baharini si shwari kwa sasa
  10. Ogo

    Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    Ila tukumbuke, "avumae baharini ni papa kumbe wengi wapo" waswahili walipata nena hivyo
  11. Ogo

    Waziri wa Mambo ya ndani unani wewe!

    Usalama wa taifa sio inajitegemea... Nahisi iko chini ya ofisi ya raisi. Mwigulu anamiliki idara3. Polisi, uhamiaji, na magereza.
  12. Ogo

    Adhabu ya viboko ipigwe marufuku mashuleni

    Dah! We labda ulisoma St flan... Sisi wa shule za kijiji kawaida sana. Ila kabla hujaangalia matokeo ya kitu tazama chanzo. Pengine ungepata kitu kizuri zaidi cha kuanza nacho.
  13. Ogo

    Kauli tata zinazoelezea taswira ya mambo yanavyoendelea nchini

    Mwenda tezi na omo, marejeo ngamani.
  14. Ogo

    Nape tengua kamati yako Mkuu kasema hapangiwi

    Hatua mbili mbele kisha unarudi nyuma hatua tatu... Kama tunaenda mbele vile...
Back
Top Bottom