sijazaliwa
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 207
- 142
Kwa ufahamu wangu mdogo waziri wa mambo ya ndani wa nchi yetu ndiye msemaji wa mambo yote yanayohusu polisi, magereza, uhamiaji na hata usalama wa taifa kama sijakosea sana. mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kwenye mkoa wake.... anaweza kuvitumia vyombo vya ulinzi na usalama kwenye issue official.... sasa hili la mkuu wa mkoa kuwatumia police kwa issue private je waziri wa mambo ya ndani ulitoa baraka zako ndo maana upo kimya au upo nje ya nchi haujui kinachoendelea au mkuu wa police ndo alitoa kibali? wote mpo kimyaaaa nini tatizo au hamuoni kama hilo ni tatizo? mkikaa kimya kuna hatari zifuatazo
1: wananchi tutaamini mmehusika kwa nna moja amanyingine.
2: tutakosa imani ni nyie viongozi wetu.
3: ipo siku hao police wataelekezwa kufanya jambo baya zaidi ya hilo liliofanywa....
Waziri na mkuu wa polisi naomba kujua toka kwenu kama kutumiwa kwa hao polisi ilikuwa sahihi na kama siyo sahihi wananchi tuwaone hata mkitoa karipio tu kwa viongozi wa kisiasa wasiwatumie polisi kwa issue zao binafsi....nawasilisha....
Mtanzania mzalendo... Bado nina imani na nyie wakuu...