Mwl. Ambogo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2014
- 201
- 84
Hata hivyo mkulu keshasema hashughuliki na mambo ya mitandaoni.... walimu tuendelee kuchapa kazi
Exagaration of things/events!Nadeclare interest kabla ya kutoa maudhui ya somo hapo juu kuwa binafsi ni mdau wa Elimu na ni mwezeshaji. Adhabu hii ya viboko licha ya kuwekewa sheria na taratibu bado walimu wa shule hasa za msingi hawazifuati sheria hizo wala taratibu zake. Utakuta mwalimu anamchapa mtoto wa chini ya miaka 13 fimbo zaidi ya 12 tofauti ya kiwango kilichokubaliwa kisheria cha fimbo pungufu ya 4.Nalisema hili kwa ushahidi na situngi.
Nilibahatika kuwa shule ya msingi Kinondoni Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam ambapo nilishuhudia wanafunzi wa darasa la sita na la saba wakicharazwa tena na mwalimu mmoja wa kiume kijana hivi zaidi fimbo nane kwa kosa la kushindwa kupata jibu sahihi la hisabati.
Nimeshuhudia wanafunzi wale wakikandwa viganja vya mikono yao na barafu kwani vilivimba sana. Maskini watoto hawa huogopa kuzungumza mambo ya shuleni kwa wazazi wao kwa sababu ya kutokujaliwa na wazazi wao au kupuuswa. Mamlaka zinazohusika waokoeni watoto hawa kabla hawajapata majanga kama yaliyotokea mkoani Tanga. Wapelelezeni watoto wa shule tajwa msikie madhila wanayoyapata na wengine wanawaza kuacha masomo kuepuka adhabu za viboko vitolewavyo shuleni hapo bila utaratibu.
Chukueni hatua ili kuirekebisha hali hiyo.
Wakati mwingine learn to think positive. Am telling the truth na realia kwani nimeshuhudia kwa macho yangu.Exagaration of things/events!
Na siku umuumize mtoto wa watu ndio utajua kuwa hashughuliki na kesi zilizopo mahakamani! Siasa bwana.Hata hivyo mkulu keshasema hashughuliki na mambo ya mitandaoni.... walimu tuendelee kuchapa kazi
Mm nilichapwa sana ivyo pale vituka sec.. Watoto wasasaiv wanadekezwa sana ASA awa wa shule za kata hawatakiwi kufutiwa viboko kabisaDuh! Wewe ulichapwa viboko 12 at a time wakati unasoma? Hebu vivae Viatu vya watoto hawa wasio na jukwaa la kusemea uona vitakavyokupwaya au kukubana.
Isitoshe, si kweli kwamba mwalimu ndiye mfanyakazi pekee anayedai maslahi mazuri na malimbikizo. Ni karibu wafanyakazi wote wa serikali wana halo hiyo. Na kusema ndiyo sababu ni makosa kwani watoto wale sio waliokuajiri.
What if angekuwa mtoto wako ungejisikiaje?
Itakua ulikua hupendi tu tangu mwanzo ukafanya iyo ndo sababu...mbona wengine tumechapwa sana na hatukuchukiaFimbo zilisababisha niichukie shule milele, sitaki kuisikia leo, kesho, wala keshokutwa! Nachukia sana uonevu...
Mjadala wa viboko umeanza tangu walimu wengine hatujazaliwa hadi leo bado mnajadili na hakuna muafaka......Duh! Wewe ulichapwa viboko 12 at a time wakati unasoma? Hebu vivae Viatu vya watoto hawa wasio na jukwaa la kusemea uona vitakavyokupwaya au kukubana.
Isitoshe, si kweli kwamba mwalimu ndiye mfanyakazi pekee anayedai maslahi mazuri na malimbikizo. Ni karibu wafanyakazi wote wa serikali wana halo hiyo. Na kusema ndiyo sababu ni makosa kwani watoto wale sio waliokuajiri.
What if angekuwa mtoto wako ungejisikiaje?
Hivi utajisikiaje na kwa umri ulio nao nikiamini kuwa wewe ni mature ukachapwa viboko hadharani? Hamuoni kuwa kuchapwa viboko ni kuwafananisha na wanyamakazi kama punda, ng'ombe na farasi? Hakuna adhabu dhalili kama kuchapwa viboko na ndio maana naipinga isieendekezwe kwa watoto wetu.Mm nilichapwa sana ivyo pale vituka sec.. Watoto wasasaiv wanadekezwa sana ASA awa wa shule za kata hawatakiwi kufutiwa viboko kabisa
Nimehudumu katika idara hiyo kwa miaka mingi sana hadi nilipo achana nayo 2001. Hivyo naifahamu vyema sana maana hata shemeji yakoi alikuwako huko nimetoa mwaka jana.We ni ticha?
Hutoeleweka kamwe, kwa vichwa hivi vya kitanzaniaAdhabu ya viboko iondolewe au ipunguzwe? Maana kama kuondolewa, lazima uje na mbadala. Huwezi kuondoa viboko Afrika kwa tafiti zilizo fanywa ulaya, wataalamu wetu(watafiti ) waje na majawabu kwa mazingira yetu. Hivi tatizo ni mtoto kuchapwa viboko au walimu kuwachapa wanafunzi? kama tunalengo la kuondoa viboko kwa watoto lazima zoezi lianze kwa wazazi kisha walimu.
Ndo maana wenye pesa na wanasiasa wetu hawawapeleki watoto wao hizo shule coz shule za fimbo nyingi hufundisha uoga na si nidhamu kama tunavyodanganywa.Nadeclare interest kabla ya kutoa maudhui ya somo hapo juu kuwa binafsi ni mdau wa Elimu na ni mwezeshaji. Adhabu hii ya viboko licha ya kuwekewa sheria na taratibu bado walimu wa shule hasa za msingi hawazifuati sheria hizo wala taratibu zake. Utakuta mwalimu anamchapa mtoto wa chini ya miaka 13 fimbo zaidi ya 12 tofauti ya kiwango kilichokubaliwa kisheria cha fimbo pungufu ya 4.Nalisema hili kwa ushahidi na situngi.
Nilibahatika kuwa shule ya msingi Kinondoni Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam ambapo nilishuhudia wanafunzi wa darasa la sita na la saba wakicharazwa tena na mwalimu mmoja wa kiume kijana hivi zaidi fimbo nane kwa kosa la kushindwa kupata jibu sahihi la hisabati.
Nimeshuhudia wanafunzi wale wakikandwa viganja vya mikono yao na barafu kwani vilivimba sana. Maskini watoto hawa huogopa kuzungumza mambo ya shuleni kwa wazazi wao kwa sababu ya kutokujaliwa na wazazi wao au kupuuswa. Mamlaka zinazohusika waokoeni watoto hawa kabla hawajapata majanga kama yaliyotokea mkoani Tanga. Wapelelezeni watoto wa shule tajwa msikie madhila wanayoyapata na wengine wanawaza kuacha masomo kuepuka adhabu za viboko vitolewavyo shuleni hapo bila utaratibu.
Chukueni hatua ili kuirekebisha hali hiyo.
We Ndo Umekurupuka Soma Heading Yako Linganisha Na Hiki Ulichokiandika.Usiandike tu kama unakurupushwa! Nisome tena kwenye hoja yangu kuwa mimi ni nani. Hata kama wanafunzi wa umri huo wakiwa watukutu japo sio wote huwezi kuwachapa idadi ya fimbo hizo. Nikuelimishe juu ya sheria ya adhabu mashuleni kuwa siyo kila mwalimu anatakiwa kuchapa bali ni kwa uteuzi wa mwalimu Mkuu na adhabu hiyo iandikwe kwenye kitabu cha adhabu na kwa idadi ya viboko visivyozidi vinne pamoja na shihi za mchapwaji, mchapaji na au aliyeteuliwa kuchapa.
Una mtoto wewe? Huwa unamchapa viboko 12 kwa mara moja?
Na ni mtaala gani wa ualimu unaoekekeza kuchapa pale mwanafunzi anaposhindwa kujibu sahihi? Ualimu wako una shida na huenda wewe ni kati ya walimu msioekeweka darasani. Rudi shule ukabrushiwe!
Azabu yoyote ile inategemea na mpewa azabu ataitafsili vpi iyo azabu ukamcha akajirekebisha na umaweza ukampa azabu tofauti na viboko na asibadilike piaHivi utajisikiaje na kwa umri ulio nao nikiamini kuwa wewe ni mature ukachapwa viboko hadharani? Hamuoni kuwa kuchapwa viboko ni kuwafananisha na wanyamakazi kama punda, ng'ombe na farasi? Hakuna adhabu dhalili kama kuchapwa viboko na ndio maana naipinga isieendekezwe kwa watoto wetu.
Nitoe mifano ya adhabu mbadala kwa level ya primary ni kupanda ua, mti, kufanya usafi wa mazingira na kufyeka. Adhabu hizi zitampa kumbukumbu nzuri na faida kwa wengine kwani wataona kilichofanyika. Lakini viboko vitapoa na atasahau na au ukamuumiza ukapata kesi ya kushambulia na kudhuru mwili. Tuache kuwachapa watoto kwani hatuwaonyi bali tunawaongezea usugu.
Kipi ni bora kati ya kuchapwa viboko na kupewa adhabuAdhabu ya viboko iondolewe au ipunguzwe? Maana kama kuondolewa, lazima uje na mbadala. Huwezi kuondoa viboko Afrika kwa tafiti zilizo fanywa ulaya, wataalamu wetu(watafiti ) waje na majawabu kwa mazingira yetu. Hivi tatizo ni mtoto kuchapwa viboko au walimu kuwachapa wanafunzi? kama tunalengo la kuondoa viboko kwa watoto lazima zoezi lianze kwa wazazi kisha walimu.
Ni bahati mbaya kama bahati mbaya zingineUkiondoa viboko, umeua nidhamu!
Tanga kulikua na tukio gani tena?