Katika uzinduzi huo ambao uliudhuriwa na Mh. Waziri Dokta Phd na Mh. Mkuu wa Mkoa Dokta Daktari, Mh Dokta Obuntu alisisitiza umuhimu wa kuwapo wasomi wengi wa ngazi ya Dokta ili kuongeza ufanisi wa utafiti katika kituo hicho. Awali akisoma hotuba ya kumkaribisha Rais, mkuu wa Wilaya hiyo Dokta...
Raisi wa JMT anahutubia Taifa kuhusu masuala ya UCHUMI na KATIBA mpya ... nyie bado mnamkatia UMEME?
Kweli nimeamini nyie mpo juu ya SHERIA na Katiba!!!
Habari yenu watu wa Mungu ...
Natafuta mpango wa kando aka nyumba ndogo aka small house ...
Sifa
1. Awe ni Mwanamke
1. Awe Ameolewa na ameachika
1. Awe ameolewa na anajuta kuolewa
1. Kama hajaolewa awe na "mpango" wa kutokuolewa
PAW - hii usipeleke jukwa la Maria Roza wala funzadume pse...
Kuna thread nyingine yenye kuongelea TCRA vs Bil 2.2 vs Wanafunzi wawili!!!
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/188584-tcra-yasomesha-watatu-kwa-sh2-2-bilioni.html
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.