ndo matatizo ya wanaume wa bongo.mwanamke akifanya kitu flani wanauliza? ila wao ni poa ukipandishwa cheo kazini umetembea na bos ila wao wakipandishwa wanastahili , mtabaki kuchonga tu najua umenielewa
Vipi mbona umetokwa na povu bibie kheee kheeeendo matatizo ya wanaume wa bongo.mwanamke akifanya kitu flani wanauliza? ila wao ni poa ukipandishwa cheo kazini umetembea na bos ila wao wakipandishwa wanastahili , mtabaki kuchonga tu najua umenielewa
Lol! Kazi kweli kweliwatakudunda wewe tunao wengi humu,nakumbuka nyimbo hii tuliimba harusini basi kutahamaki tukabaki wanaume watupu,wanawake wote wakasusa kwasababu hawajaole.....Na log off
Kwani manungayaembe manake nini!!! mbona hamjibu!! mnaumia tu!! Loh!!
Sasa we umeandika kitu usizhojua maana yake tukueleweje?!?Kwani manungayaembe manake nini!!! mbona hamjibu!! mnaumia tu!! Loh!!
kama manake maembe mabichi, kwanini ilipigwa marufuku!!, Loh!
Loh! Preta na wewe ushawahi kula embe mbichi!!
Preta twende zetu kwa baba paroko tuwafunge hawa jamaa midomo achana na mambo ya kericho anakuchafulia passport yako ili siku tukiwa tunaenda visiwa fulani wakose pa kugonga bure.
si unajua serikali hata ikiongozwa na watu wawili inabidi uiheshimu.Nalog offkama manake maembe mabichi, kwanini ilipigwa marufuku!!, Loh!
kweli nakuambia .nalog offLol! Kazi kweli kweli