mkuu Papizo hebu jaribu hapa bonyeza http://www.vtunnel.com/index.php/10...e313ce2cccef86ab61a046cdbe25d16d7827c85420358Wakuu sikuweza kuanzisha thread mpya, ila naombeni msaada kama mnaweza kunisaidia link au kama mtu anaweza kunitumia kwenye email, nilikuwa nahitaji sana software ya Proteus kwa msaada please please MziziMkavu Kimox Kimokole NingaR Invisible hata kwenye torrent nipeni link me nita download, Nitashukuru sana kama mtanisaidia...
mkuu Papizo hebu jaribu hapa bonyeza Vtunnel.com is here to help you beat internet filtering!
au chagua hapa moja wapo bonyeza hapa Google
mkuu Papizo hebu jaribu hapa bonyeza Vtunnel.com is here to help you beat internet filtering!
au chagua hapa moja wapo bonyeza hapa Google
Wakuu sikuweza kuanzisha thread mpya, ila naombeni msaada kama mnaweza kunisaidia link au kama mtu anaweza kunitumia kwenye email, nilikuwa nahitaji sana software ya Proteus kwa msaada please please MziziMkavu Kimox Kimokole NingaR Invisible hata kwenye torrent nipeni link me nita download.....
Proteus is software for microprocessor simulation, schematic capture, and printed circuit board (PCB) design
Nitashukuru sana kama mtanisaidia...
ni 87.57MB tu
nenda chini pale pameandikwa I have no money, I want download for free
Kimox Kimokole Mkuu wangu sana natambua chango wako yaani kwa haraka haraka majina yaliyonijia kichwani ni hayo , so nashukuru sana tena sna maana nimeisaka sana ila nimeikosa hii kitu, so afadhali nimezipta,na hizi ni trial au unlimited mkuu?nazishusha the zikiubali nitatoa feedbackAsante Papizo kwa kutambua mchango wangu jukwaa hili tafadhali ishushe hapa chini
nadhani ndiyo hii hapa chini
View attachment 67782
Basi ishushe hapa chini fuata link
ni 87.57MB tu
au hapa nenda chini pale pameandikwa I have no money, I want download for free
Sharing is Caring
mkuu Paje Mimi Simdhihaki hata kidogo nilikuwa sijuwi anataka Software ya Proteus bado sijuwi Version ipi? Hakutaka Windows 8 kama unavyosema wewe unajuwakumdhihaki mtu wewe?mkuu mbona una mdhihaki huyu papizo. hizo link ulizotoa ndio za windows 8? usiwe hivyo bwana..... he heeee heee
Kimox Kimokole Mkuu wangu sana natambua chango wako yaani kwa haraka haraka majina yaliyonijia kichwani ni hayo , so nashukuru sana tena sna maana nimeisaka sana ila nimeikosa hii kitu, so afadhali nimezipta,na hizi ni trial au unlimited mkuu?nazishusha the zikiubali nitatoa feedback
mkuu Paje Mimi Simdhihaki hata kidogo nilikuwa sijuwi anataka Software ya Proteus bado sijuwi Version ipi? Hakutaka Windows 8 kama unavyosema wewe unajuwakumdhihaki mtu wewe?
Wakuu sikuweza kuanzisha thread mpya, ila naombeni msaada kama mnaweza kunisaidia link au kama mtu anaweza kunitumia kwenye email, nilikuwa nahitaji sana software ya Proteus kwa msaada please please MziziMkavu Kimox Kimokole NingaR Invisible hata kwenye torrent nipeni link me nita download.....
Proteus is software for microprocessor simulation, schematic capture, and printed circuit board (PCB) design
Nitashukuru sana kama mtanisaidia...
Mkuu Papizo Mbona mimi nimeiweka hiyo Proteus_V7.8i na inafanya kazi ipo free na Setup yake ninayo mimi tena ile aliyokupa Mkuu.@Kimox Kimokole ninashangaa imekushinda kivipi wewe?Mkuu MziziMkavu naona labda hakusoma vizuri kidogo maana nimeweka tatizo langu kwenye post ya mkuu hapa, ila nadhani atakuwa ameelewa, alafu nimejaribu kucheck hiyo kitu naona imegoma kabisaaaa haijakubali hamna maujanja yoyote??
Jaribu hii ina keygen pamoja na crank. Proteus_Pro_v7.9_sp1_Full.rar download for free on file share letitbit.net
pia waweza tafuta software kama pspice na multisim zitakusaidia zaidi
Mkuu Papizo Mbona mimi nimeiweka hiyo Proteus_V7.8i na inafanya kazi ipo free na Setup yake ninayo mimi tena ile aliyokupa Mkuu.@Kimox Kimokole ninashangaa imekushinda kivipi wewe?
Mkuu wangu Kimox Kimokole naona hizi kitu zote zimekaaa kabisaaaa, naona ni ngumu sana kupata hii Proteus hamna maujanja mengine please kama inawezekana maana nitashukuru sana tu mkuu wangu kama ikiwezekana.....