~~~~Mh. Raisi Dokta Obuntu azindua kituo cha utafiti wa Magonjwa sugu~~~~~

Obuntu

JF-Expert Member
Feb 6, 2008
510
34
Katika uzinduzi huo ambao uliudhuriwa na Mh. Waziri Dokta Phd na Mh. Mkuu wa Mkoa Dokta Daktari, Mh Dokta Obuntu alisisitiza umuhimu wa kuwapo wasomi wengi wa ngazi ya Dokta ili kuongeza ufanisi wa utafiti katika kituo hicho. Awali akisoma hotuba ya kumkaribisha Rais, mkuu wa Wilaya hiyo Dokta Feki alisema kuwa kuna upungufu mkubwa wa Ma-Dokta katika wilaya hiyo.....
 
Back
Top Bottom