Dogo kaupiga mwingi sana. Mwishoni kaenda kukosea kidogo tu! Huyu ni hazina kubwa kwa serikali ya Kenya.
Wamuendeleze kisha atakuja kuwaletea manufaa makubwa sana baadaye. Nashauri wasimfunge kwa makosa haya aliyoyafanya!
Evelyn Salt, baada ya kuwa mkubwa mkubwa kidogo, aaargh, nilikuwa napasha pasha nao kidogo. Wao ndio walinifundisha mautunduz 😋
Mara ooh, gusisha hapa 🤣
Mkuu, hapo ukute mama mtu ndiyo michezo yake, kwahiyo anamshanga binti anashindwaje 😔.
Inasikitisha sana kwa kweli. Imagine sisi wanaume, ukute ni binti yako anafanyiwa hayo mambo? Naondoka na shingo ya huyu bastered 😡
Wewe dogo achakutuletea utani katika mambo ya msingi ya kifamilia. Huyo ni mwanamke wa kuoa kabisa. Umri siyo hoja. Weka ndani huyo mwalimu na utakuja kinishukuru baadaye.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.