Recent content by nzumbintiga

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wakati Acacia ikifungasha virago, tukumbushane mambo ya kijinga tuliyokuwa tunafanya mgodini

    Usisahau kuwaeleza wanajamiiforam ule uji ulioletagwa kwaajili ya kubust machine,,, hahahaaaaaa
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wakati Acacia ikifungasha virago, tukumbushane mambo ya kijinga tuliyokuwa tunafanya mgodini

    Enzi izo pale kwny cage mnakutana na MTU anaitwa MAPESA,,, MAGOVONGO,,, IDAMA,,MILANZI,,wakiamua kumshambulia MTU kwa utani atatamani akimbie
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mdada kunuka choo haja kubwa ni kutozingatia usafi au ndo uasilia tu?

    Wanawake wengi ck izi wanajali kuosha papuchi tu,,, lkn mstari wa ikweta huwa hawaugusi kabisa.. Sasa akiinama waweza kimbia
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kumu 'ignore' dereva wa Lissu lilikuwa kosa kubwa sana la 'watu wasiojulikana'

    Mie napita tu kuelekea kwetu maeneo ya kamachumu muleeba...ck nikiwa mkubwa nitasema neno juu ya hili
  5. N

    JamiiForums Tanzania Sina hisia na mume wangu nisaidieni

    Ata mie sina hisia kabisa na mke wangu,, sasa cha kufanya njoo njoo tuzitafute hisia
  6. N

    JamiiForums Tanzania Uzi wa vyakula tu

    Mjamaa1 wew ndo umeleta msosi wenyew sasa
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kaja anatafuta dawa ya Misoprostol, nikamuuliza unaumwa nini, kala kona

    Anaenda kufyatua kamimba Sent using Jamii Forums mobile app
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Ngoja nimwone mama K anipe nusu kwanza then ntarud Sent using Jamii Forums mobile app
  9. N

    JamiiForums Tanzania Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

    Hii ni zaid ya fasihi simulizi... Hakika Roma ww ni mmoja wa wasanii watanzania wanaotumia usanii wao kwa manufaa ya watanzania wanaotakia mema tanzania ,,,, mwnye masikio na asikie na mwenye macho na aone pia Sent using Jamii Forums mobile app
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wassira abwagwa: Mahakama ya Rufaa Dar yatupilia mbali Rufani ya Jimbo la Bunda Mjini

    Huyo Mzee ndo atatulipa fidia yote Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N

    JamiiForums Tanzania Vyuo na programu zilivyozuiliwa kudahili wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18

    Me pia napenda kueleweshwa kwa hilo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama ya Kisutu: Tundu Lissu apata dhamana

    CDM inaongozwa kwa interejensia hali ya juu sana,na sio kukurupuka tu eti watoe tamko Sent using Jamii Forums mobile app
  13. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kozi za afya

    Nipe ushaur mkuu maana coz ninayotaka kusoma ni hiyo clinical
  14. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kozi za afya

    Niunganishe mimi km inawezekana coz nina eng..B civ..C geoC.. histC.. mathD.. phyD.. chemD..kiswD.. biosC
  15. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kiwanja Majohe ukubwa wa 40 * 25

    Nipe namba yko
Back
Top Bottom