Natafuta Kiwanja Majohe ukubwa wa 40 * 25

Natafuta Kiwanja Majohe ukubwa wa 40 * 25

Kikombo

Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
60
Reaction score
49
Wapendwa bado sijapata kiwanja eneo la majohe.
Mwenye msaada wa kupatikana kwa kiwanja tafadhali.
Ukubwa wa 40" * 25" au zaidi ni nzuri zaidi.
 
Vipo viwili hapa hapa majohe njia kuu ya barabarani kwa mtumbo na kengine kinakaribia 1 Heka Bei 95 milion vipo vingi km muhitaji pita mlango huu
 
njoo na million 25 tukupe banda la viumba vi4 na uwanja upo........Eneo lipo Majohe kwa ngozoma karibia na stendi pia gari inafika mpk kwenye hiyo plot tajwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom