Msaada kuhusu kozi za afya

Anselem mathew

Senior Member
May 17, 2017
107
66
Wapenda habarini za uzima napenda kuomba ushaur juu ya kozi gan ya afya ambayo naweza kusoma kulingana na matokeo yangu haya physics D chemistry C biology C English C civics C geography C kiswahili C math F history D
 
Hivi cli

clincal officer diploma siwez kusoma hapa
 
Kozi ya clinical medicine imekuwa ni lazima afaulu hesabu na English kuanzia intake hii ya sept 2017.ila uuguzi anawezapata
 
Wakuu mm biology B, chemistry C, physics C, English C, mathF,kati ya pharmaceutical na clinical medicine IPI Niki apply wananibeba msaada!!!
 
Wapenda habarini za uzima napenda kuomba ushaur juu ya kozi gan ya afya ambayo naweza kusoma kulingana na matokeo yangu haya physics D chemistry C biology C English C civics C geography C kiswahili C math F history D
Kozi zote za afya unasoma
Clinical med, pharmacy, lab tech , nurse, medical record, nk
 
Kwa biology B, chemistry C ,Physics C, English C math F VIP naweza chaguliwa clinical medicine vyuo vya serikali msaada kakaaa
Yaan we mpaka leo hujaingia mtandaoni ukaomba, unakuja kuulizauliza hapa..!
We jaribu zari lako ucheck michongo inaendaje
 
mwenye B ya biology utapata yyte ile unayotaka hapo omba tu but usisahau kuomba na vya private kwasababu ushindani upo mkubwa
 
Kwa biology B, chemistry C ,Physics C, English C math F VIP naweza chaguliwa clinical medicine vyuo vya serikali msaada kakaaa
yap mzee, unasoma kabisa... kama una wasiwasi sana kuna chuo lakini private naweza kukuunganisha.
 
Back
Top Bottom