Recent content by nzoya

  1. N

    JamiiForums Tanzania kwa anae fahamu interview za World church service

    Wanaanza na screen interview ya typing.kwa kutumia laptop inatakiwa uwe na speed ya kufa mtu na wanaangalia typing accuracy ukipita hiyo ya kwanza ndio mnafuata interview nyingine ...kama huna speed utatumia nusu saa tu then watakushukuru kwa kuhudhuria.wapo vizuri fanyia kazi hilo na best of luck
  2. N

    JamiiForums Tanzania Simba SC Kocha Amunike ametubipu sasa Sisi tumpigie kwa style hii ili ajue kwamba Simba SC ni zaidi ya Yeye Wakuja na Mshamba tu!

    [emoji706] [emoji706] [emoji706] [emoji706] Tanzania ni kubwa kuliko usimba Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    JamiiForums Tanzania Taarifa ikufikie ya kwamba.........

    Hii ni kweli
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Huyu mtoto wa kike ananipenda kweli?

    Hahaha ushakutana nao nn maana umegusa kabisa
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Huyu mtoto wa kike ananipenda kweli?

    Hahaha ushakutana nao nn maana umegusa kabisa
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mbunge ni milioni 3.8 kwa mwezi, Posho ya Ubunge ni..

    Thiz is crazz nahofia hata uelewa wako ukishaskia zitto unakurupuka .umumuelewa mtoa thread?????
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Huyu mtoto wa kike ananipenda kweli?

    Kama miezi nane iliyopita nilikutana na Dada mmoja kama kawaida tukaanzisha mahusiano na alikua anakuja sana home yaani getho nilipopanga na kunasehemu nilikua nafanya kazi pia ikitokea contract ikawa imeisha nilimwambia bby mkataba umeisha kule job sasa inabidi nitafute kwingine kabla ya hapo...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kiwanda chafungwa kwa kusindika nyama ya Punda

    Hao wachina inabidi tuwenao makini sana pia ubinafsi tuache watanzania kisa wamekuajiri wanakulipa basi unatetea maslai yao ,,si nzuri kabisa ,,pia vyombo vya dola viwe makini kufuatilia maana inaonekana dhahiri wachina wengi wanafanya biashara tofauti na vibali vyao
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hakika Christian Bella is the king of best melody in Tanzania

    jama yuko vizuri sana
  10. N

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Maelezo yangu kuhusu kazi za Kigoma AllStars/LEKADUTIGITE kwa NSSF na TANAPA

    msemwa hujaelewa nini ufafanuzi aliotoa Zitto ni kwamba aliwaunganisha wale wasanii wakaunda kampuni yao ,na yeye hana hisa yeyote hapo sasa iweje ahusishwe kuwa lekatutigite co. ni yake ili hali wasanii member wanajulikana na kazi walizofanya na hayo makampuni zinaonekana pamoja na impact...
  11. N

    JamiiForums Tanzania UKABILA utamfanya Zitto ashinde UBUNGE 2015

    non sense !kjipange uje kuandika tena
  12. N

    JamiiForums Tanzania Government Ban Job Recruitment Agencies!

  13. N

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Zitto "Nina jasho langu CHADEMA" ina maana gani?

    nadhani mnachoshindwa kumwelewa zitto katumia mda mwingi tangu akiwa kijana na kakutana na vikwanzo vingi hadi hapo alipo pili kwa mwanasiasa yeyote hua anakuwa na ndoto ya kukuwa zaidi ndani ya organization yake na hata nje utakuwa ni unafiki na kwa mwanasiasa asiejielewa akakwambia hapendi...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Zitto "Nina jasho langu CHADEMA" ina maana gani?

    ujamaa wa kikaskazini,,hatari hasa pale unapogusa maslai yao!!kweli wanaujamaa
Back
Top Bottom