Kiwanda chafungwa kwa kusindika nyama ya Punda

tuna kitu kimoja tu cha kujifunza kwa wachina,nacho ni kuwaibia elimu ya teknolojia.
 
know i can understand ndiyo maana waheshimiwa wetu wanapokuwa kwenye vikao mjengoni wanaropoka ovyo kwa sababu ya kula nyama ya Punda.
 
Hao wachina inabidi tuwenao makini sana pia ubinafsi tuache watanzania kisa wamekuajiri wanakulipa basi unatetea maslai yao ,,si nzuri kabisa ,,pia vyombo vya dola viwe makini kufuatilia maana inaonekana dhahiri wachina wengi wanafanya biashara tofauti na vibali vyao
 
Watanzania tunajiuliza ni kitu gani mh Rais wa sasa Kikwete kuendelea kuwakumbatia wachina hapa nchini, wamefanya mambo mengi yasiyo kubalika lakini leo kupitia ITV tumeshuhudia kuwa wanatulisha nyama ya punda?
 
Nchi Hii Jamani Kweli Kuna Kila Sababu ya Kubadiri Mwelekeo. Licha ya Kutlisha Nyama ya Punda Kama Tulivyoona Kwenye ITV,Mazigira ya

Kiwanda na Issue ya Hygiene Ni Majanga. Yaani Utadhani Nchi Haina Mwenyewe, Kile Ni Kiwanda ebu Tujiulize Kimefuta Taratibu Kweli.

Nimekuwa na Mashaka Sana Wachina Wale Wamepata Wapi Ujasiri Ule ?,Nadhani Kuna Mtu Mkubwa Yupo Nyuma Yao Na Itajulikana

Maana Ni Miezi Takribani 2tu Imebakia Tunajua Black/White.
 
Tumevumilia mengi lkn haya ya wachina kutulisha punda kwa makusudi sasa tuseme basi,hata kama nikati ya mikataba 17 iliyosainiwa siku moja
 
ni mmoja wa mikatabba 17 aliyosaini Kikwete kuruhusu wachina kutuuzia nyama ya punda bila hiari yetu tena zilizooza
 
Bado kidogo mtalishwa sumu kutoka china. CCM haina huruma na wananchi wake na inawajali zaidi wageni.
 
Watanzania tunajiuliza ni kitu gani mh rais wa sasa jk kuendelea kuwakumbatia wachina hapa nchini,wamefanya mabo mengi yasiyo kubalika lkn leo kupitia itv tumeshuhudia kuwa wanatulisha nyama ya punda?

Ubaya wa sisi watanzania tuko ni watu wa mapkeo Sio watu wa kuresearch. Yani kuna Mtu tu kataka mgao kutoka kwa wachina na wachina wakatia ngumu huyooo akakurupuka kuita waandishi, kukamata wachina wa watu na kufunga kiwanda.Sasa naomba niwajuze wale wachina wana kibali. Tembelea tovuti ya wizara ya mifugo na uvuvi utaona Hadi waandishi wa TBC na wataalam wa wizara walitembelea kiwanda. Nyama inayosindikwa pale Sio kwa matumizi nchini bali inapelekwa kwao China. TRA wanajua hilo na kodi wanalipa ya nyama na ngozi. Wana vibali toka tume ya atomic wanakaguliwa Kila Mara na watu wa mifugo na TFDA. Nina nyaraka nyingi kusimamia niachosema zikiwemo Picha za makontena yanayopeleka China. Bills of lading. Receipt za mizani magari yanapopita etc etc. Hata bungeni hiliswala liliibuliwa mawaziri wakajibu vizuri. Kwa hiyo kusema kuna mtanzania analishwa punda ni uongo uliotukuka. Hata wachina wenyewe wa kiwandani hawali punda sembuse watanzania? Yani mifumo ya serikali ni kama imekufa ganzi haiwasiliani. Je hao NEMC walifatilia EPZ kuona kama wana vibari? Kweli Mtu atajenga kiwanda bila kibari. Sababu nyingine anasema ni tofauti na utamaduni je ni Lini NEMC wamekuwa wizara ya habari michezo na utamaduni? Ok tuseme walikuta may be wanachafua mazingira yanayozunguka ni mara ngapi machinjio ya pugu yamefungwa with same reason? Je penalty ya million 200 wameikokotoa wapi na lini machinjio ilitozwa kiasi hicho?Tuangalie pande zote. Kuna kama watu 200 pale watakosa ajira na watachangia kuporomoka kwa pato la taifa. Kenya walianza kununua punda toka tz kwa wingi kwa ajiri ya kuchinja na kusafirisha nje Hivyo serikari ikaona ifanye Hiyo biashara kupitia mwekezaji.Aliyelishwa punda Dodoma na akawa na ushahidi naomba na ajitokeze
 
Kwa hiyo mkuu wewe ni kuwadi wao mkuu?
 
Hawa jamaa tusipowaangalia watakula hadi binadamu walianza na mbwa sasa hivi wamehamia kwenye punda aisee hawa jamaa ni hatari kama ebola,ila sijui ni kwa nini hawali paka maana dar mapaka yamezidi wangekula tu paka
 
mlitaka mtoto wake anyongwe ci ndio?uchungu wa mwana aujuae mzazi.kwan mkila mnakufaa?
 
wengine tunauziwa elimu feki na wahindi huku chuoni

ila wanachuo tumeamua moja R.I.P CCM
 
Back
Top Bottom