Government Ban Job Recruitment Agencies!

Government Ban Job Recruitment Agencies!

Kwa mujibu wa gazeti la tanzania daima kampuni ya eurolink imeeibia serikali bilioni tatu kwa kipindi cha miaka mitatu....
 
Nasubiri kuona Makamouni ya simu, hasa vijana wa Call center hakika wananyanyasika sana, mtu analipwa hadi 150 kwa mwezi na ndio mshahara wa kuanzia.

Kama ni kweli itakuwa hivo tunashukuru pale Spanco saizi inaitwa ison bpo mshahara 270000 take home 230000 .Mafao wanachelewesha kuna mfanyakazi kaacha kazi mwezi wa 11 mwaka jana hajapata mafao mpaka sasa. Kazi ya kupokea simu ni ngumu asikwambie mtu. Mtu unafanya kazi mwaka mmoja mafao hayafiki hata million moja. Kama hayo mabadiliko ni ya kweli mtakuwa mmetutoa shimoni sisi tulioajiriwa na outsourcing agency.
 
Unamaanisha Erolink | Developing today's managers into tomorrow's leaders.

Kwenye site yao wanadai baadhi ya wateja wao ni NBC

Yeah mkuu EMT nadhani ni hao hao...nimesoma.post zote hapa na nashawishika kusema kwamba kampuni kama hizi zinawaibia wafanyakazi na serikali kwa hiki kisingizio cha outsourcing na receuitment... kweli zifungiwe

Ninachoona ni kwamba wao wanakuwa outsourced lets say na NBC wanakutafuta wanakulinkk na mwajiri lakini mshahara wanakulipa wao japo mtaani tunajua ww ni.mfanyakazi wa NBC..nadhani hapo ndo kuna loophole ya kuibiwa wafanyakazi...
 
Last edited by a moderator:
Wadau, serikali imepiga marufuku mawakala wa ajira baada ya watu kulalamika! What do you say? Pamoja na mambo mengine, wadau wamelalamikia tabia ya kampuni hizi kutopeleka makato ya mifuko ya jamii.

MY TAKE: Nadhani hili jambo limechelewa manake nasikia baadhi ya kampuni za uajiri ni full dhuruma. Mathalani, nasikia SPANCO, wanalipa mshahara wa sh. 270,000/ kwa customer care. Kuna wengine viwango vyao vya mishahara wala hawaangalii qualification a muhusika; provided watu wana shida ya ajira, wanajua watu watachukua chochote wapewacho.

Njian kuelekea Uchaguz mkuu kila kitu kinawezekana,Tafakar chukua hatua?
 
Yeah mkuu EMT nadhani ni hao hao...nimesoma.post zote hapa na nashawishika kusema kwamba kampuni kama hizi zinawaibia wafanyakazi na serikali kwa hiki kisingizio cha outsourcing na receuitment... kweli zifungiwe

Ninachoona ni kwamba wao wanakuwa outsourced lets say na NBC wanakutafuta wanakulinkk na mwajiri lakini mshahara wanakulipa wao japo mtaani tunajua ww ni.mfanyakazi wa NBC..nadhani hapo ndo kuna loophole ya kuibiwa wafanyakazi...

Kuna thread nyingi za malalamiko kuhusiana na hiyo kampuni humu JF.

Inaonekana serikali ilianza kuifanyia uchunguzi hii kampuni na nyinginezo mwaka jana.

Labda matokeo ya findings za investigation ndiyo zimefanya serikali ifutilie mbali hizi kampuni.

Pitia hii https://www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda/492743-ero-link-recruitment-agency-scandal.html

Na hii https://www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda/428183-be-ware-of-erolink.html
 
Wadau, serikali imepiga marufuku mawakala wa ajira baada ya watu kulalamika! What do you say? Pamoja na mambo mengine, wadau wamelalamikia tabia ya kampuni hizi kutopeleka makato ya mifuko ya jamii.

MY TAKE: Nadhani hili jambo limechelewa manake nasikia baadhi ya kampuni za uajiri ni full dhuruma. Mathalani, nasikia SPANCO, wanalipa mshahara wa sh. 270,000/ kwa customer care. Kuna wengine viwango vyao vya mishahara wala hawaangalii qualification a muhusika; provided watu wana shida ya ajira, wanajua watu watachukua chochote wapewacho.

Erolink wanawakata wafanyakazi wao mafao ya NSSF kisa eti walichelewa wao kupelaeka michango, wafanyakazi inawahusu nini?, mfano kuna jamaa yangu alifanya kazi na taasisi fulani chini yao kwa muda wa miakamiwili mkataba ulipoisha ktk mafao yake ya NSSF karibia milioni mbili aliambulia shilingi milioni moja na laki mbili tu, huu si wizi?

naandaa ushahidi toka kwa waathirika na tutahakikisha haki inapatikana.

hiki ni kilio cha muda mrefu kwa vijana japo umechelewa kidogo
 
Thanks EMT for the link..nimepitia website yao (japo kwa simu) link nyingi hazina taarifa ni coming soon...sasa hiyo pekee inatia shaka kama wapo mzigoni kwa muda mrefu
 
Last edited by a moderator:
Thanks EMT for the link..nimepitia website yao (japo kwa simu) link nyingi hazina taarifa ni coming soon...sasa hiyo pekee inatia shaka kama wapo mzigoni kwa muda mrefu

Mie pia nimekuta "coming soon" kibao.
 
Sidhani kama njia muafaka ilikuwa ni kuzipiga marufuku hizo recruitment agencies, bali kuhakikisha kuwa zina-operate kwa mujibu wa sheria au taratibu zilizowekwa.

Ilichotakiwa kufanya serikali ni kulinda maslahi yake pamoja na haki za wale wanaojiriwa na kufanya kazi kupitia recruitment agencies.

Kama recruitment agencies haitafuata sheria au taratibu zilizowekwa, then kuwe na enforcement actions, following by huge fines. Lazima watatii tuu.

Lazima kuwe na restrictions and responsibilities on recruitment agencies na biashara zao, but siyo kuzipiga marufuku. Funga zile ambazo zimekataa kufuata sheria na taratibu tuu.

Kama hii habari ni kweli, then this is the worst decision for the government. Pia ni ushahidi kuwa serikali inashindwa ku-regulate the emerging businesses across the country.

Siamini kama recruitment agencies is a bad business for the country kiasi cha kuzipiga marufuku. What is bad is the failure of the government to regulate these agencies.

I think kilichopigwa marufuku siyo recruitment agencies bali ni recruitment process outsourcing. Kwa hiyo, agencies kama Radar Recruitment hawadhuriki na huu uamumzi.

Lakini kuna baadhi ya makampuni yanafanya both as recruitment agencies as well as recruitment process outsourcing. Kwa maana hiyo itabidi hizo kampuni ziachane na recruitment process outsourcing na kubakia kama recruitment agencies. Mfano: Erolink | Developing today's managers into tomorrow's leaders.[/
looh mkuu EMT??unawaongelea ni ero link gan hao zaidi ya kuwanyonya vijana wa kitanzania ,tena unawachefua watu hapa jamvini
 
Erolink wanawakata wafanyakazi wao mafao ya NSSF kisa eti walichelewa wao kupelaeka michango, wafanyakazi inawahusu nini?, mfano kuna jamaa yangu alifanya kazi na taasisi fulani chini yao kwa muda wa miakamiwili mkataba ulipoisha ktk mafao yake ya NSSF karibia milioni mbili aliambulia shilingi milioni moja na laki mbili tu, huu si wizi?

naandaa ushahidi toka kwa waathirika na tutahakikisha haki inapatikana.

hiki ni kilio cha muda mrefu kwa vijana japo umechelewa kidogo

Hii imekaa kama fraud vile. Who own this company?

Serikali itachukua hatua zaidi au ndiyo kuzifuta ndiyo mwisho?
 
looh mkuu EMT??unawaongelea ni ero link gan hao zaidi ya kuwanyonya vijana wa kitanzania ,tena unawachefua watu hapa jamvini

Mleta mada alida recruitment agencies ndizo zilizopigwa marufuku which does not seem to be the case.

Inavyoonekana outsourcing companies ndiyo zimepigwa marufuku.

Point ni kwamba serikali ilikuwa wapi muda wote huo mpaka ikaibiwa bilioni tatu na kampuni moja?

Recruiting process outsourcing siyo mbaya kama ikiwa properly regulated.
 
Itasaidia kulinda haki za Waajiriwa ktk sekta binafc ila Serikalini kuna Matatizo ya Watumishi wa Ngazi za Chini kutopandishwa Madaraja au Ngazi za Mshahara kwa Wakati na Ukipandishwa Malimbikizo yako kulipwa Sahau Kabisaa mpaka Ufe je na hilo halioni au analiona la Sekta binafsi tu?
 
hawa jamaa ni wanyonyaji hasa kama hujawaifanya kazi nao lazma uwatete hasa hawa erolink wanawanyanyasa ndugu zetu sana pale vodacom call center
 
Unamaanisha Erolink | Developing today's managers into tomorrow's leaders.

Kwenye site yao wanadai baadhi ya wateja wao ni NBC, WWF na Barclays.
erolink-logo.png
 
Naunga mkono uamuzi wa serikali. Ni kwamba kampuni au shirika linapochukua mfanyakaxi kupitia outsourcing company inakwepa liability. Inahamisha liability kwa kikampuni kidogo kisichoogopa kuharibu jina lake hata ikikiuka haki za msingi za mfanyakazi. Pili ni kwamba mshahara halali wa mfanyakazi anagawiwa huyo muonevu ili aonee wafanyakazi kwa niaba ya shirika linalohitaji wafanyakazi.
Tatu shirika mama linakwepa kulipa mishahara mikubwa hivyo inajishikiza nyuma ya kampuni ndogo ili ikwepe gharama halisi za mfanyakazi.
 
Kuban hizi recruitment agenciea serikali imekurupuka, kuna watu wanazitegemea sana, eengine wanafanya kazi ktk hizi agencies, wamejiajiri na zinalipa kodi kwa nchi, cha msingi ni kuzibana hizi agencies zifate sheria za ajira na kuacha kunyonya nguvu kazi ya nchi kweli graduate unamlipa 270,000/= na wewe unaingiza zaidi ya mara mbili huu ni unyonyaji
 
Back
Top Bottom