kwa anae fahamu interview za World church service

Ngunya1

JF-Expert Member
Jul 21, 2017
406
642
Nimeitwa interview World church service kasulu Kigoma niliomba kupitia bright monday kwa anae fahamu interview zao msaada plz nipate idea maana nitaanza na written half behaviour based interview
 
Nimeitwa interview World church service kasulu Kigoma niliomba kupitia bright monday kwa anae fahamu interview zao msaada plz nipate idea maana nitaanza na written half behaviour based interview
Wanaanza na screen interview ya typing.kwa kutumia laptop inatakiwa uwe na speed ya kufa mtu na wanaangalia typing accuracy ukipita hiyo ya kwanza ndio mnafuata interview nyingine ...kama huna speed utatumia nusu saa tu then watakushukuru kwa kuhudhuria.wapo vizuri fanyia kazi hilo na best of luck
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom