UKABILA utamfanya Zitto ashinde UBUNGE 2015

Status
Not open for further replies.
Angekuwa anakubarika sehemu yeyote imekuwaje jimboni kwake tu madiwani wa CDM wamepungua tangu alipoingia yeye? Na labda unitajie jimbo ambalo Zitto alisaidia CDM ikapata Ushindi.

Mbona jimbo la zitto ndio pana pigiwa sana mfano, mbona majimbo mengine husemi ndugu yangu iringa hatuoni mkiongeza madiwani pamoja na chopa kupita kila wakati
 
Kwann unaumia zzk kuwa mbunge..?? Hata kama amesaliti chama chenu bt hajaisaliti mwandiga wala hajalisaliti taifa..!!! And by the way alisema 2015 hagombei ubunge so what is ur analysis for...!!!!!!
 
Mbona jimbo la zitto ndio pana pigiwa sana mfano, mbona majimbo mengine husemi ndugu yangu iringa hatuoni mkiongeza madiwani pamoja na chopa kupita kila wakati

kwa nini huongelei tume huru ya uchaguzi,daftari la wapiga kura kuboreshwa ili mshinde kihalali kwa vile chama chenu si cha mizigo na kinapendwa sana????
hofu ya nini ya kuboresha daftari kama kweli magamba mnakubalika????
Je, kuna sababu zozotenazoweza kutupa za kwa nini 40% tu ya wapiga kura ndio hupiga kura???? kuna nn hapo?
 
Kwa asili ya waha wa kigoma hasa wale ambao hawajatoka nje ya kigoma uwezo wa kutathimini usaliti wa zzk ni mdogo na wao wana tabia ya kusema"wachu"hili neno wanalitumia kuonesha umoja.

ACT kigoma itachukua muda kuwaingia vichwani maana si wafuatiliaji wa mambo ila wakisha elewa hawayumbi hivyo kusema eti ACT itanadiwa kigoma kwa kiasi cha kumpa ushindi ZZK 2015 ni ndoto na haiwezekani.
Ukiangalia kigoma ni kundi dogo sana linalomsapoti zzk kwa sasa nalo ni kwa kigezo cha kuwa kabila moja si kupitia ACT hawaitambui na wanachotambua ni chadema tu japo kuwa kabila moja kwao ni zaidi ya chama.

ZZK atawashawishi kwa kigezo cha kuwa"omwana wanyu"yaani mi mtoto wenu msiniangushe.
maneno hayo nimeyapata sehemy moja inaitwa mwandiga ktk jimbo la zzk nilipokuwa nikihoji nafasi ya zzk ktk uchaguzi mkuu ujao,hakuna aliyesema zzk si msaliti la hasha!!wanakubali ila wanasema "Omwana wacu" yaani mtoto wetu.

Watu wa kigoma mnamkumbuka Aman W.Kabour?aliwafanyia nini?

Zindukeni.

Na mumuache zzk miaka mia 800 lol kila Mara akauki kwenye mioyo yenu kwani mwanasiasa yupo peke ake tz
 
Mbona jimbo la zitto ndio pana pigiwa sana mfano, mbona majimbo mengine husemi ndugu yangu iringa hatuoni mkiongeza madiwani pamoja na chopa kupita kila wakati

Jitahidi kutumia akili Unapozungumzia Iringa Msigwa hii ni awamo yake ya Kwanza lakini naomba uniambie Kabla Msigwa hajawa Mbunge kulikuwa na Madiwani wangapi wa CDM hapo Iringa na sasa hivi wapo wangapi? Huwezi kupingana na Ukweli ZITTO hajaijenga CHADEMA kuanzia kwenye Jimbo lake hadi Taifa isipokuwa alichokuwa akikifanya ni Unafiki ambao ndio uliowafanya watu kama wewe mumwamini.
 
akili ya zito ni zaidi ya akili ya viongozi na wanachama wote wa chadema kwa pamoja
 
Kwa asili ya waha wa kigoma hasa wale ambao hawajatoka nje ya kigoma uwezo wa kutathimini usaliti wa zzk ni mdogo na wao wana tabia ya kusema"wachu"hili neno wanalitumia kuonesha umoja.

ACT kigoma itachukua muda kuwaingia vichwani maana si wafuatiliaji wa mambo ila wakisha elewa hawayumbi hivyo kusema eti ACT itanadiwa kigoma kwa kiasi cha kumpa ushindi ZZK 2015 ni ndoto na haiwezekani.
Ukiangalia kigoma ni kundi dogo sana linalomsapoti zzk kwa sasa nalo ni kwa kigezo cha kuwa kabila moja si kupitia ACT hawaitambui na wanachotambua ni chadema tu japo kuwa kabila moja kwao ni zaidi ya chama.

ZZK atawashawishi kwa kigezo cha kuwa"omwana wanyu"yaani mi mtoto wenu msiniangushe.
maneno hayo nimeyapata sehemy moja inaitwa mwandiga ktk jimbo la zzk nilipokuwa nikihoji nafasi ya zzk ktk uchaguzi mkuu ujao,hakuna aliyesema zzk si msaliti la hasha!!wanakubali ila wanasema "Omwana wacu" yaani mtoto wetu.

Watu wa kigoma mnamkumbuka Aman W.Kabour?aliwafanyia nini?

Zindukeni.

Binafsi me ni muha bt sijawahi kumkubali Zitto na sera zake za umimi na kujiona yeyea ni bora zaidi kuliko wengine na chama ,shame to msaliti ZZK
 
mwehu kama wewe hata usipomkubali ni sawa kwa sababu wasiomkubali zito ni mataahira kama wewe
 
Asante kwa matusi bt usilazimishe waha wote tumkubali huyo MBEMBE wa Zaile,mkubalini nyie mlioshikiwa akili na viongozi wenu wa dini
 
wewe ni taahira namba moja hapo chuoni SAUT, hicho.chuo nimekidharau sana kuwa na mataahira kama wewe. au kuna kozi special kwa ajili ya wagonjwa wa akili?
 
Kwa asili ya waha wa kigoma hasa wale ambao hawajatoka nje ya kigoma uwezo wa kutathimini usaliti wa zzk ni mdogo na wao wana tabia ya kusema"wachu"hili neno wanalitumia kuonesha umoja.

ACT kigoma itachukua muda kuwaingia vichwani maana si wafuatiliaji wa mambo ila wakisha elewa hawayumbi hivyo kusema eti ACT itanadiwa kigoma kwa kiasi cha kumpa ushindi ZZK 2015 ni ndoto na haiwezekani.
Ukiangalia kigoma ni kundi dogo sana linalomsapoti zzk kwa sasa nalo ni kwa kigezo cha kuwa kabila moja si kupitia ACT hawaitambui na wanachotambua ni chadema tu japo kuwa kabila moja kwao ni zaidi ya chama.

ZZK atawashawishi kwa kigezo cha kuwa"omwana wanyu"yaani mi mtoto wenu msiniangushe.
maneno hayo nimeyapata sehemy moja inaitwa mwandiga ktk jimbo la zzk nilipokuwa nikihoji nafasi ya zzk ktk uchaguzi mkuu ujao,hakuna aliyesema zzk si msaliti la hasha!!wanakubali ila wanasema "Omwana wacu" yaani mtoto wetu.

Watu wa kigoma mnamkumbuka Aman W.Kabour?aliwafanyia nini?

Zindukeni.

Huelewiki unazungumzia ki2 gani.Kwani huyo mwingine atakayegombea atatoka kabila gani?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom