Recent content by nzisi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji photocopying machine

    Tafuta IR 3000 CANON. IR 2202i hutajuta. Hizo walizotaja hapo juu ni ndogo .
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Kwenye sehemu wanaposhinda zungusha nyaya kwajuu. Kama unaweza pata utumbo wa kanda za mziki ukizungusha hapo kipanga au ndege yoyote akija ni ama atakwama kutua au wakati wa kuondoka atatatizika sana hadi umkamate.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Uko wapi?
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninatafuta mume

    Umenipata. Ni .pm tafadhali. Usikose.
  5. N

    JamiiForums Tanzania HIVI PUNDE:North Korea tensions increased

    Teh teh .you made up my day!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kifahamu kikosi hatari duniani cha u.S.A navy 'seal' tayari chatua rasmi rasi ya North Korea

    Tatizo wabongo wanakalili maisha.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ukimfahamu Makonda hutaacha kumpenda, hata wapinzani wake mkimpata mtampenda sana

    Acha udwanzi we jamaa. Kama ni mtu wa kujituma hivyo kwamba kila anachoambiwa kufanya yeye hufanya mara mbili! Kwa nini shuleni alipotakiwa kupata angalau hamsini. Asingekuwa anapata hata sabini tu?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Jamani wenzangu mmeshakutana hili swala kwenye bidhaa za asilia?

    Dah. Ila maswali mengine aisee. Kha! Hongera kwa jibu zuri.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Sasa Bunge limekuwa kama idara ya Ikulu. Haliisimamii tena Serikali!

    Ni mihimili ya nchi mkuu. Siyo mihimili ya dola. Mihimili hiyo ni Dola , Bunge ,na Mahakama.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Am told, People at the top aren't thinking and acting rationally anymore...

    Kwa mfano wewe unayejua kiingereza tueleze makosa yaliyopo hapo. Tufaidike.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kufuatia Mabadiliko CCM: Vyama Vya Upinzani bado vina Ubavu wa kuiondoa Madarakani?

    Chama cha Chadema! Mtoa mada hauko serious kha! & by the way kuondokewa na katibu mkuu ni issue kiasi hicho? Vyama vinaondokewa na wakubwa kuliko hao na kwa idadi ya kutosha na bado vinasonga mbele. Chama ni institution! Chama siyo mtu. Kuhusu mwenyekiti kukaa muda mrefu, sioni tatizo as long as...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

    Mahojiano halafu unamuweka mtu rumande! & there after unamchukua vipimo! Be serious my friend. Usisaidie hata pale ambapo makosa yako wazi. Mdogo mdogo unadumaza upeo wako wa kuchenjua mambo kwa kupenda kuliko pitiliza. What we say ni kwamba pamoja na nia njema ya mheshimiwa.lakini kama binadamu...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Uhakiki wa vyeti

    Hahaaaa.Noma sana.
Back
Top Bottom