Nahitaji photocopying machine

Mbingo

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
411
230
Nahitaji photocopy machine nzuri naomba picha na bei zake ahsante
 
Upo dar maeneo gani wewe? Jaribu kutafuta ya Canon halafu ukishaipata uhakikishe inafanya kazi vizur na pia upate summary ya matengeno yake maana zile zikishaanza kuharibika h
zitaweza hata kuhitaji service kila siku
 
Hapa Nina Canon image runner 2420 imetumika miezi 6 tu toka upya wake. Ni inbox offer yako.
 
Upo dar maeneo gani wewe? Jaribu kutafuta ya Canon halafu ukishaipata uhakikishe inafanya kazi vizur na pia upate summary ya matengeno yake maana zile zikishaanza kuharibika h
zitaweza hata kuhitaji service kila siku
Duu nipo Kigoma kaka
 
Canon.jpg Canon3.jpg Canon2.jpg

Nicheck inbox if your serious Nauza IR2520 mpya 2.2m nipo Dar na mikoani nasafirisha kwa gharama nafuu, usafiri kwa eneo chini ya 10km toka dukani ni juu yangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom