Recent content by nyangwe

  1. N

    JamiiForums Tanzania DAR: Mwanafunzi UDOM anyongwa

    Yamkini yanaweza kuwa malipo ya dhambi ya Uzinzi. Ndipo tunasema mwenye ufahamu atape kufahamu ya Shamba Mungu anaposema dhambi ndani kuna mauti na uhalibifu ndo kama hivo. Rest at the place You deserve for your after life home
  2. N

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wangu mfupi juu ya Lowassa kurejea CCM

    Asante kwa uchambuzi, ila Mimi Naona ameenda ili amkwamue mkwewe aliyekuwa lockup aachiwe huru. So Kuondoka kulikuwa motivated na family matters than political issues. On top of that mi naona pia uwepo wao upinzani uliwafanya watawala kuongeza mbinyo wa kuwadhibiti upinzani kwa kuwa walijua...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Huu Mwenge wa Uhuru unataka kufunga watu

    Jamani hivi mpaka Leo watu hatujui kuwa mwenge ni mungu sanamu wa nchi. Ni Ibaba na tambiko la kipagani la Nchi
  4. N

    JamiiForums Tanzania Namshauri Rais afute vitambulisho vya wamachinga

    Na wewe unatakiwa uongee kwa ustarabu ungekuwa unajua principles za taxation?? Kwanza kwanini waweke flat rate. Halifu sio lazima kila mtu alipe Jodi directly kodi zingine zinatakiwa ziwe za ku encourage busineses and Investments. Mi naona hapa uchaguzi umekaribia, zinatafutwa Fedha za chama...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza kuajiri makada wa CCM bila kuwafanyia usaili

    Kwa kweli inasikitisha sana, Ila kikubwa jua tu kuwa hayo ni maandalizi ya uchaguzi wa serikali Za mitaa, si unajua lazima upinzani upotee 2020???
  6. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamjibu Waziri Kangi Lugola kuhusu shambulio la Tundu Lissu

    The issues are not very complicated, they are very clear ,especially ukiuchunguza moyo au Nafsi ya Nchi juu ya mambo hayo
  7. N

    JamiiForums Tanzania Lissu: Nimepata taarifa kwamba kuna mkakati unaandaliwa wa kunivua Ubunge

    Shetani Siku zote ni mjinga Na mpumbavu saana. Na ufahamu wake ulishatiwa giza na wala huo ufahamu hauoni, hausikii, kwa jumla hajitambui na wafuasi wake wapo hivyo hivyo!!! Kwasababu hiyo always he saws seed of its own destruction. Mfano kwa sisi Wakristo, shetani kupitia magent wake alidhani...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Iraq yaifanya Christmass kuwa siku rasmi ya mapumziko kitaifa

    Mpinga kristo atainuka na kuwatesa wafuasi wa Kristo Yesu Mwokozi wetu, je mpinga kristo ni dola la......... Litakalo tokea????? Kama ni ndiyo basi hata sasa......... Ni wapinga kristo aka wakala wa shetani
  9. N

    JamiiForums Tanzania European Court of Human Rights says that homosexual marriage is not a human right

    Yamkini na wewe umechanganyikiwa na unakichaa, Ila hujijuii kwa kuwa umekuwa westernized. Una ufahamu ila Nina wasi wasi Hufahamu kwakuwa huo ufahamu ulisha tiwa Giza wala hautaki kufahamu.
  10. N

    JamiiForums Tanzania UN:Israel inapaswa iondoke katika miinuko ya golan haraka iwezekanavyo

    Kosa kubwa/ufahamu finyu kabila za watu wanafanya, wanaiangalia Israel kwa jicho La kisiasa Tu,lakini wangeangalia historia Na kidini wangejua mengi ikiwemo hili Zekaria:12.2 Angalia, mimi nitafanya Yerusalemu kuwa kikombe cha kuyumba-yumba kwa watu wa kabila zote, wazungukao pande zote; tena...
  11. N

    JamiiForums Tanzania European Court of Human Rights says that homosexual marriage is not a human right

    Na Wewe achana Na huo unaouita utalaamu, ambao basically ni mitazamo iliyopandikizwa Na hao wanao shadidia ushoga. Laiti ungejua tafiti zina favour mfadhili yamkini ungetambua kuwa hata huo utaalam wako ni vapour/ ni ubatili mtupu. Wewe ndo una facts batili Kabisa tena POTOFU kuu. Yamkini we...
  12. N

    JamiiForums Tanzania European Court of Human Rights says that homosexual marriage is not a human right

    Bibilia ilishamaliza Kila kitu kuhusu ushoga Na usagaji. Angalia Warumi:1.18 Kwa maana ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni juu ya uasi wote na uovu wa wanadamu waipingao kweli kwa uovu. Warumi:1.19 Kwa kuwa mambo ya Mungu yanayojulikana yamekuwa dhahiri ndani yao, kwa maana Mungu...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Sanduku la Agano la Mwenyezi Mungu

    Nina wasi wasi kama unasoma biblia, walivuka Jordan ndo maji yaligawika. Walipokuwa wanavuka bahari ya Sham sanduku lilikuwa halijatengenezwa.soka Kitabu cha Kutoka agano la kale
  14. N

    JamiiForums Tanzania SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

    Whites are very intelligent, wanatengeza vitu visivyokuwepo na kuzitwist akili za watu kuvione kama vipo huku waki- infiltrate ajenda zao like ushoga nk kwa hao watu huku akili zao zikiwa fungwa zisitambue hilo. Mungu awa rehemu.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Nini hukumu yao siku ya Kiama kwa wale wasiopata neno la Mungu tangu wazaliwe hadi kifo?

    Kama sio mvivu wa kusoma na kama unataka kuijua kweli ambayo hiyo kweli itakuweka huru kutoka kwenye hilo mbandiko lako, Soma kitabu cha Warumi utapata ufahamu.
Back
Top Bottom