Huu Mwenge wa Uhuru unataka kufunga watu

Shikoloo.

Member
Nov 16, 2015
22
45
Leo katika shughuri zangu nikaletewa barua na mkurugenzi wa Misungwi ikinitaka nilipe 50000 kwa ajili ya mwenge,nimejiuliza sana yaani nilipe
Leseni ya biashara,
Ushuru,
Kodi ya jengo,
Kodi ya kiwanja,
Takataka
Umeme
Maji
Halafu tena nilipie Mwenge kama ni wa kula.
IMG_20190308_161905.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,528
2,000
Tupiganie katiba mpya kero hizi ziondoke!waonyeshe kitambuliaho cha ujasiriamali hawatakugusa kamwe
 
Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,447
2,000
Ifike wakati sasa uwekwe makumbusho.
Time wasting na unachangia sana maamubikizi ya ukimwi. Ni chi gan dunian wanakimbiza mwenge zaid ya sisi? Una faida gani? Kuzindua miradi ambayo DC au diwAni au RC atazindua?? I dont get them. Usipochangia utafunguliwa kosa gani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
3,047
2,000
Kuna mzee mmoja hapa town alikuwa ana kibiashara chake naye wakamletea barua ya mchango wa mwenge, akaamua kuwakazia ila alichokipata kwa TRA ilibidi atoe tu kishingo upande.

Nikaja kugundua sio wote wanaotoa hii michango wanatoa kwa hiari yao, ukikataa kuna nguvu inatumika hasa wafanyabiashara.
 
nyangwe

Senior Member
Oct 3, 2010
164
195
Jamani hivi mpaka Leo watu hatujui kuwa mwenge ni mungu sanamu wa nchi. Ni Ibaba na tambiko la kipagani la Nchi
Ifike wakati sasa uwekwe makumbusho.
Time wasting na unachangia sana maamubikizi ya ukimwi. Ni chi gan dunian wanakimbiza mwenge zaid ya sisi? Una faida gani? Kuzindua miradi ambayo DC au diwAni au RC atazindua?? I dont get them. Usipochangia utafunguliwa kosa gani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
97,939
2,000
Kwani usipo toa hiyo ela utashitakiwa wapi?wewe cha msingi hakikisha unafuata masharti ya biashara zako wakose pa kuanzia
Leo katika shughuri zangu nikaletewa barua na mkurugenzi wa Misungwi ikinitaka nilipe 50000 kwa ajili ya mwenge,nimejiuliza sana yaani nilipe
Leseni ya biashara,
Ushuru,
Kodi ya jengo,
Kodi ya kiwanja,
Takataka
Umeme
Maji
Halafu tena nilipie Mwenge kama ni wa kula. View attachment 1040905

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we trust
 
ELI-91

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
3,592
2,000
mheshimiwa JPM amejipambanua kuwa mtu mwenye uthubutu, asiyeogopa ku 'dili' na mambo magumu, tena ni mtu mwenye 'logic' ya hali ya juu, nadhani ni wakati umefika sasa mzee JPM uwatue watu wako huu mzigo wa ibada ya mwenge! usihofu kuhusu wahafidhina wa ndani ya chama kwa maana wamefunzwa kufuata fikra za mwenyekiti, ukiupumzisha mwenge hii leo kila mtu atakusifu kuanzia CCM hadi CDM, kwani hautaki sifa nzuri mheshimiwa wetu?
 
TIBIM

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
8,022
2,000
Ifike wakati sasa uwekwe makumbusho.
Time wasting na unachangia sana maamubikizi ya ukimwi. Ni chi gan dunian wanakimbiza mwenge zaid ya sisi? Una faida gani? Kuzindua miradi ambayo DC au diwAni au RC atazindua?? I dont get them. Usipochangia utafunguliwa kosa gani??

Sent using Jamii Forums mobile app

Naona uitakii mema ccm itakufa siku ukiwekwa makumbusho
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom