European Court of Human Rights says that homosexual marriage is not a human right

M

Mwanitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
840
Points
500
M

Mwanitu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
840 500
Nimegundua kiongozi yeyote aliye maarufu akionesha kutetea ushoga haraka sana huporomoka kisiasa.Mchungaji Desmond Tutu ni mfano huo.Hiyo kitu Waafrika wengi hatuikubali ,ni mila potofu kwetu.
 
M

Mwanitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
840
Points
500
M

Mwanitu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
840 500
Thats true,watu wamehamisha goli. Kilichosemwa na hiyo mahakama ni kuwa wametupilia mbali madai ya kutaka ndoa za jinsia moja kutambulika kama human right ila wachangiaji wengi wanaona kama ushoga umepingwa na hii mahakama kitu ambacho si kweli.
Mkuu unaonekana una uelewa mkubwa kuhusu statement ya mahakama hiyo.
Tafadhali tusaidie kudadavua implication Ya statement hiyo kwa lugha rahisi.
 
johnson meki

johnson meki

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Messages
1,910
Points
2,000
johnson meki

johnson meki

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2016
1,910 2,000
Nimegundua kiongozi yeyote aliye maarufu akionesha kutetea ushoga haraka sana huporomoka kisiasa.Mchungaji Desmond Tutu ni mfano huo.Hiyo kitu Waafrika wengi hatuikubali ,ni mila potofu kwetu.
HAO "WAAFRIKA WENGI" ULIWAHESABU LINI?
 
gspain

gspain

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
666
Points
1,000
gspain

gspain

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
666 1,000
Mkuu sina uelewa sana zaidi ya kilichoandikwa hapo na nnachokijua ni kwamba kulikuwa na kesi kwny hiyo mahakama tajwa iliyokuwa ikiiomba mahakama hiyo(moja ya mahakama za juu kabisa za haki za binadamu) watambue na kuidhinisha ndoa za jinsia moja kuwa ni haki ya binadamu kama zilivo haki zingine za binadamu. Sasa kilichotokea ni kuwa Majaji wote 97 wa mahakama hiyo wamekubaliana,kwa kuzingatia tafsiri na makusudi ya ndoa kisheria,ndoa ya jinsia moja haikidhi maudhui hayo na hivyo kutupilia mbali hoja hiyo ya haki ya ndoa za jinsia moja. Kwa upande mwingine kama hoja hiyo ingeshinda,ndoa hizo zingetambuliwa km haki ya binadamu na hivyo muhimili wa sheria ungezitambua km ndoa halali.
Mkuu unaonekana una uelewa mkubwa kuhusu statement ya mahakama hiyo.
Tafadhali tusaidie kudadavua implication Ya statement hiyo kwa lugha rahisi.
 
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Messages
8,344
Points
2,000
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2016
8,344 2,000
Mkuu sina uelewa sana zaidi ya kilichoandikwa hapo na nnachokijua ni kwamba kulikuwa na kesi kwny hiyo mahakama tajwa iliyokuwa ikiiomba mahakama hiyo(moja ya mahakama za juu kabisa za haki za binadamu) watambue na kuidhinisha ndoa za jinsia moja kuwa ni haki ya binadamu kama zilivo haki zingine za binadamu. Sasa kilichotokea ni kuwa Majaji wote 97 wa mahakama hiyo wamekubaliana,kwa kuzingatia tafsiri na makusudi ya ndoa kisheria,ndoa ya jinsia moja haikidhi maudhui hayo na hivyo kutupilia mbali hoja hiyo ya haki ya ndoa za jinsia moja. Kwa upande mwingine kama hoja hiyo ingeshinda,ndoa hizo zingetambuliwa km haki ya binadamu na hivyo muhimili wa sheria ungezitambua km ndoa halali.
Ubarikiwe
 
N

nyangwe

Senior Member
Joined
Oct 3, 2010
Messages
165
Points
195
N

nyangwe

Senior Member
Joined Oct 3, 2010
165 195
Bibilia ilishamaliza Kila kitu kuhusu ushoga Na usagaji. Angalia Warumi:1.18
Kwa maana ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni juu ya uasi wote na uovu wa wanadamu waipingao kweli kwa uovu.
Warumi:1.19
Kwa kuwa mambo ya Mungu yanayojulikana yamekuwa dhahiri ndani yao, kwa maana Mungu aliwadhihirishia.
Warumi:1.21
kwa sababu, walipomjua Mungu hawakumtukuza kama ndiye Mungu wala kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza.
Warumi:1.22
Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika;
Warumi:1.23
wakaubadili utukufu wa Mungu asiye na uharibifu kwa mfano wa sura ya binadamu aliye na uharibifu, na ya ndege, na ya wanyama, na ya vitambaavyo.
Warumi:1.24
Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao.
Warumi:1.25
Kwa maana waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya Muumba anayehimidiwa milele. Amina.
Warumi:1.26
Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;
Warumi:1.27
wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.
Warumi:1.28
Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa
 
johnson meki

johnson meki

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Messages
1,910
Points
2,000
johnson meki

johnson meki

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2016
1,910 2,000
Bibilia ilishamaliza Kila kitu kuhusu ushoga Na usagaji. Angalo Warumi:1.18

ACHANA NA MABIBLIA WEWE.

TUNAJADILI VITU VYA KITAALUMA WEWE UNALETA HADITHI POTOFU!
 
johnson meki

johnson meki

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Messages
1,910
Points
2,000
johnson meki

johnson meki

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2016
1,910 2,000
Mkuu sina uelewa sana zaidi ya kilichoandikwa hapo na nnachokijua ni kwamba kulikuwa na kesi kwny hiyo mahakama tajwa iliyokuwa ikiiomba mahakama hiyo(moja ya mahakama za juu kabisa za haki za binadamu) watambue na kuidhinisha ndoa za jinsia moja kuwa ni haki ya binadamu kama zilivo haki zingine za binadamu. Sasa kilichotokea ni kuwa Majaji wote 97 wa mahakama hiyo wamekubaliana,kwa kuzingatia tafsiri na makusudi ya ndoa kisheria,ndoa ya jinsia moja haikidhi maudhui hayo na hivyo kutupilia mbali hoja hiyo ya haki ya ndoa za jinsia moja. Kwa upande mwingine kama hoja hiyo ingeshinda,ndoa hizo zingetambuliwa km haki ya binadamu na hivyo muhimili wa sheria ungezitambua km ndoa halali.
HII KESI NI YA MUDA SANA NA HUKUMU YAKE ILISHATENGULIWA NA MAHAKAMA YA JUU YA ECJ.

NDIO MAANA NDOA ZA JINSIA MOJA NI RUKSA HUKO MPAKA LEO HII.
 
N

nyangwe

Senior Member
Joined
Oct 3, 2010
Messages
165
Points
195
N

nyangwe

Senior Member
Joined Oct 3, 2010
165 195
ACHANA NA MABIBLIA WEWE.

TUNAJADILI VITU VYA KITAALUMA WEWE UNALETA HADITHI POTOFU!
Na Wewe achana Na huo unaouita utalaamu, ambao basically ni mitazamo iliyopandikizwa Na hao wanao shadidia ushoga. Laiti ungejua tafiti zina favour mfadhili yamkini ungetambua kuwa hata huo utaalam wako ni vapour/ ni ubatili mtupu. Wewe ndo una facts batili Kabisa tena POTOFU kuu. Yamkini we shoga pia maana unakuwa mkali kama baba na mama wa ushoga wanavyo kuwa wakali ushoga ukipingwa. soma vitabu Mbali mbali ndugu upate ufahamu.
 
keithevans2685

keithevans2685

Senior Member
Joined
Dec 17, 2014
Messages
110
Points
225
keithevans2685

keithevans2685

Senior Member
Joined Dec 17, 2014
110 225
Na Wewe achana Na huo unaouita utalaamu, ambao basically ni mitazamo iliyopandikizwa Na hao wanao shadidia ushoga. Laiti ungejua tafiti zina favour mfadhili yamkini ungetambua kuwa hata huo utaalam wako ni vapour/ ni ubatili mtupu. Wewe ndo una facts batili Kabisa tena POTOFU kuu. Yamkini we shoga pia maana unakuwa mkali kama baba na mama wa ushoga wanavyo kuwa wakali ushoga ukipingwa. soma vitabu Mbali mbali ndugu upate ufahamu.
Baada ya ku'quote mistari yote hiyo ya biblia then una uwezo wa kumwambia mtu mwingine aache mawazo ya kupandikizwa!!?

Mawazo ni POTOFU kwasababu yanapishana na kile ulichoaminishwa katika maisha yako yote au ni POTOFU coz una evidence kuwa ni potofu,!!?

Ushauri wa kusoma vitabu vingine zaidi ya biblia ni mzuri,kuna umuhimu na wewe ufuate
 
johnson meki

johnson meki

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Messages
1,910
Points
2,000
johnson meki

johnson meki

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2016
1,910 2,000
Baada ya ku'quote mistari yote hiyo ya biblia then una uwezo wa kumwambia mtu mwingine aache mawazo ya kupandikizwa!!?

Mawazo ni POTOFU kwasababu yanapishana na kile ulichoaminishwa katika maisha yako yote au ni POTOFU coz una evidence kuwa ni potofu,!!?

Ushauri wa kusoma vitabu vingine zaidi ya biblia ni mzuri,kuna umuhimu na wewe ufuate
Kachanganyikiwa huyo. Muache kichaa kipoe.
 
M

Mwanitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
840
Points
500
M

Mwanitu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
840 500
HII KESI NI YA MUDA SANA NA HUKUMU YAKE ILISHATENGULIWA NA MAHAKAMA YA JUU YA ECJ.

NDIO MAANA NDOA ZA JINSIA MOJA NI RUKSA HUKO MPAKA LEO HII.
Mkuu nawe ni mmoja wao nini? Ulaya Wapigania haki za hilo Swala wanajiwekaga wazi kabisa.Akina Elton John na wengineo.
 
N

nyangwe

Senior Member
Joined
Oct 3, 2010
Messages
165
Points
195
N

nyangwe

Senior Member
Joined Oct 3, 2010
165 195
Kachanganyikiwa huyo. Muache kichaa kipoe.
Yamkini na wewe umechanganyikiwa na unakichaa, Ila hujijuii kwa kuwa umekuwa westernized. Una ufahamu ila Nina wasi wasi Hufahamu kwakuwa huo ufahamu ulisha tiwa Giza wala hautaki kufahamu.
 
Nkuruvi

Nkuruvi

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Messages
447
Points
500
Nkuruvi

Nkuruvi

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2014
447 500
So magonjwa ya kurithi yanatokea wapi kama huyo Mungu wako haumbi kwa makosa!!?

Wanaume na wanawake wasioweza kuzaa wanatokea wapi kama huyo Mungu wako hafanyi makosa!??

Unajua kuna wanawake wanazaliwa bila uzazi,wanaume wanazaliwa bila uwezo wa kutengeneza shahawa!!?Mungu wako kafanya hayo yote!!?

Kama Mungu wako anaweza kufanya hayo yote,unafikiri hawezi kutengeneza shoga au msagaji pia
Maswali hayo yote aliwahi kuulizwa Yesu Kristo:
Yohana 9:1-3 "Hata alipokuwa akipita alimwona mtu, kipofu tangu kuzaliwa. Wanafunzi wake wakamwuliza wakisema, Rabi, ni yupi aliyetenda dhambi, mtu huyu au wazazi wake, hata azaliwe kipofu? Yesu akajibu, Huyu hakutenda dhambi, wala wazazi wake; bali kazi za Mungu zidhihirishwe ndani yake."
Hayo yote unayoona kuwa ni udhaifu (ulemavu), Mungu ameyaweka yatokee ili utukufu wa Mungu udhihirishwe.
Sasa basi turudi kwenye hoja ya Ushoga: Dhambi ya shoga ni kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile, na siyo kuzaliwa na homoni za kike (By the way, wengi wao wanahomoni za kiume, ila hujifunza kwa kuiga). Ndio, anaweza akawa amezaliwa na homoni za kike nyingi zilizo zidi homoni za kiume, lakini hii haimaanishi kuwa aliumbwa afanye ngono kinyume na maumbile, la hasha!! Maana yake ni hii, kwa kuwa amezaliwa na jinsi ya kiume lakini hana homoni za kiume, basi hakupewa uwezo wa kufanya tendo la Ngono, hivyo basi yamfaa atulie, asifanye ngono. Maana Mungu alipomuumba Adam,alimuumba na Hawa, kwa hiyo ngono ni kati ya Mtu Mume na Mtu Mke tu. Kwa maelezo hayo, nitakuwa nimejibu na maswali yako mengine, endapo mwanamke amezaliwa bila kizazi, basi si makosa ya Mungu, la hasha!! Lakini Mungu ameruhusu hivyo ili utukufu wake udhirishwe. Tena basi, mwanamke aliyezaliwa na udhaifu huo, haimpi ruhusa kwenda kuiba mtoto wa mwenzake, eti kisa yeye alizaliwa bila kizazi. Pointi ni kwamba, kuumbwa na udhaifu fulani, haikupi ruhusa ya kufanya dhambi!!
Barikiwa Mtumimishi!!
 
Forum statistics

Threads 1,307,080
Members 502,332
Posts 31,601,025
Top