2019Naomba kujuzwa season 8 ya GOT inatoka lini
Hahahaaaaaaaaaa!si bora umwambie agoogle tu kuliko .....2019
Inatoka mwaka 2019.Naomba kujuzwa season 8 ya GOT inatoka lini
Thank youInatoka mwaka 2019.
BadooooHivi Game of throne imeshaisha yote?
Unafuatilia kwenye nini?Mimi nipo nyuma kidogo natumia You tube!Badoooo
Whites are very intelligent, wanatengeza vitu visivyokuwepo na kuzitwist akili za watu kuvione kama vipo huku waki- infiltrate ajenda zao like ushoga nk kwa hao watu huku akili zao zikiwa fungwa zisitambue hilo. Mungu awa rehemu.Jana ndiponnimetazama season ya 7 naona mambo yanaelekea mwisho na season ya 8 ndiyo itakuwa ya mwisho.
Naona houses nyingi zimeanguka na Arya taratibu kafanya revenge yake kwa wale waliohusika na vifo vya familia yake.
Lanisters naona mwisho wataangukia pua ila sasa utata unabaki kwa khaleese na john snow ambao sasa ni wapenzi bila kujua kuwa ni ndugu wala john snow siyo mtoto haramu wa stark house.
Sasa hapo utata ni kwamba john snow ndiye anabidi akalie the iron throne na siyo khaleese jambo ambalo sidhani kama khaleese atalikubari.
Na mambo yanavyoelekea khaleese atapata mimba ya john snow.
Sansa na Aryan naona wamefanikiwa kushinda hila za mjomba wao za devide and rule wakamuua maana nilihan atawagombanisha na kumfanya mmoja amuue mwenzake.
Pia dada yake dwarf kawaongopea akina john snow kuwa ata wasupport katika vita dhidi ya night king kumbe anataka wakiwa vitani yeye atume majeshi yake yachukue ardhi yote.
Game of thrones kwa sasa ndiyo series inayoongoza kuwa na high rates za kutazamwa na pia kuwa na many pirated downloads.
Hata mwaka jana ilikuwa hivyo hivyo.
HBO wametengeneza kitu safi sana nilikiwa mpenzi wa spartacus nikadhani hakuna series kama ile itakuja tengenezwa but GOT is far better than Spartacus sijui ikiisha wataleta ipi ya maana.
Mungu aturehemu sote na wewe ukiwepo maana wakiamua kutufanya mashoga ni dakika tu..Whites are very intelligent, wanatengeza vitu visivyokuwepo na kuzitwist akili za watu kuvione kama vipo huku waki- infiltrate ajenda zao like ushoga nk kwa hao watu huku akili zao zikiwa fungwa zisitambue hilo. Mungu awa rehemu.
Naisubiri kwa hamuGame of Thrones season 8 takuwa na episode sita tu. but kila episode itakuwa na dakika 120
asee itakua ni kali balaa night king ame beyond wallNaisubiri kwa hamu
Dah nimeona trailer naona darago wapo North kule winterfellWadau naona mupo kimya. Mambo yapo onfire. April 14
Mashujaa wote wako north. North kutamu sanaDah nimeona trailer naona darago wapo North kule winterfell
na night king nae amevuka ukuta duh ni shida