Recent content by nyambuta manyembe

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nauliza CCM ni nani

    eheeeee CCm bwana wajanja kweli, kwanza walianza kumtumia Zito, CHADEMA kikawa HOI, hALAFU WAKAMTUMIA LOWASA UKAWA CHALIIII, sasa kwa ulaini kabisa watachukua nchi hata wakimteua nani upinzani chaliiiiiiiiiiii.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ni chakula gani ulikuwa hukipendi ulipokuwa mtoto?

    nilikuwa sipendi mboga za majani na ugali, hasa bamia hadi leo sipendi
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wadada: Mdudu anayekuza manyonyo

    tafuta miti yenye matunda marefuu nawe utapata mtindi wa nguvu. hao wadudu walikuwa wanakaa kando ya nyumbo zisizo na sakafu kwa sasa utawapata wapi watu wanasakafia nyumba zao? labda wende kijijini :A S wink::A S wink:
  4. N

    JamiiForums Tanzania Top five hii hapa

    we naeeeee,,,, siye tunatafakari uchaguzi we na visimu vyako hiyo hela ya ya hizo simu unayo au sifatuuu. fyuuuuuu.:blah::blah::angry::angry::angry:
  5. N

    JamiiForums Tanzania Madam Rita wa Bongo Star Search

    itaonyeshwa star TV soon we angalia TV tu. utaona maTANGAZO:shock::shock::poa:bump2::blah::decision::A S crown-2::rant::phone:
  6. N

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake wamezidi kuvaa nguo fupi mwezi huu mtukufu

    we akili yako imekaa kingono tu. mbona chakula uongelei, au ukiona msosi nao unatamani? pole wee funga yako inahuuuuu.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kuimarika kwa shilingi imenikera sana!

    :A S wink::yawn: :yawn: :llama:safi sana ishuke tu mpaka 1500/= kwa dola 1
  8. N

    JamiiForums Tanzania Fingerprint za Mke wangu, zimegoma kusoma kwenye BVR

    aache kujichubua
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku mpya huanza usiku na si pale jua linapochomoza?

    waulize wakristu...., wakristu mko wapi swali lenu hilo..
  10. N

    JamiiForums Tanzania Bahati bukuku na utajiri wa kutisha

    anahusikaje tena hapa kwa mutu wa Mungu, acheni ving'amuzi feki.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini wadada wengine mnapenda kulazimisha mambo?

    ulishidwa nini kumridhisha kama unajiaminna si teambamia?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wakaguzi wa ISO lazima wawe Wakenya?

    we umeshasema ISO hilo si kampuni la Tanzania, Wakala anaweza kuwa Tanzania lakini wafanyakazi kutoka nchi yeyote. Ingekuwa TBS ningekuelewa.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Vinyago/midoli vina roho

    Mi nakataa haiwezekani mudoli umeunua halafu ubadilike. :sad:ya kweli hayo:sad: :A S-rap::A S 100:
Back
Top Bottom