Vinyago/midoli vina roho

Vinyago/midoli vina roho

Mungu asipolinda nyumba walindao wakesha bure. Lakini pia kwa wakristo Mungu mwenyewe kwenye biblia amekataza haya masanamu..
hizo roho chafu hupenda kukaa kwenye kitu chochote unachokipenda na kukithamini, zimaweza kukaa hata kwenye mafuta ya kupaka au hata kwenye nywele zako..
Cha muhimu ni kujiweka chini ya ulinzi wa Mungu,hizo roho hazitakusogelea kabisa.

Amen.........
 
Hata zile katuni wanazoangalia watoto, Boomerang, Disney na zinginezo zimejaa mapepo, kwa macho ya watu Wazima tunaona ni katuni za kawaida, ila watoto wanaona ni vimtu vipo uchi wa mnyama, zjnaharibu sana watoto zile!

duu
mtoto wetu wa 5yrs yupo addicted na hizo jamani

eti mshanajr vipi kuhusu mashuka yenye katoon na picha za midoli ???
 
Last edited by a moderator:
Kuna huu mdori umecheza film unaitwa CHUCKY, unaukumbuka?

mqdefault.jpg

Sasa kuna mwingine amefahamika anaitwa Black Chucky.... Anabamiza watoto si kawaida.

Child's play ilipotoka watoto wawili wakaiga na kumuiba mtoto wa miaka 2 kutoka supermarket na kumpeleka kwenye rail na kumpiga hadi umauti ukamkuta.

Hao watoto walikuwa na umri wa miaka 10 na 11 kisa kilitokea UK walifungwa kama juveniles mpaka walipokuwa wakaachiwa na kupewa majina tofauti na kuhamishwa mji.
Kuhusu midoli ni Haram kuweka popote ni ushetani.
 
Last edited by a moderator:
duu
mtoto wetu wa 5yrs yupo addicted na hizo jamani

eti mshanajr vipi kuhusu mashuka yenye katoon na picha za midoli ???

Zinaharibu sana future ya watoto wetu, km kuna uwezekano wa kumzuia asiangalie inakuwa vizuri zaidi
 
Last edited by a moderator:
Zinaharibu sana future ya watoto wetu, km kuna uwezekano wa kumzuia asiangalie inakuwa vizuri zaidi

labda akianza kwenda boarding
kwa sasa ni ngumu
lakini mi naona zimemjenea uwezo mkubwa wa kujua lugha na kuelewa mambo
maana anazitafsiri na akikaa na watoto wenzie anawatafsiria
sidhan kama ni tatizo mimi ki ukweli siko vizuri sana kiroho lakini huwa naona katoon ni nzuri
 
Kuna kanisa moja niliwah kusali mchungaj alituagiza waumin wenye midoli na kadi zile za wishes like Xmas cards or birthday cards tuzipeleke kanisani na zilichomwa zote ,pastor alisema tunahifadh roho wachafu nyumban wanaokaa kwenye midol na hizo cards

Kweli kazi ipo😉😉
Amazing hi ni kweli.
Mshana sikuhizi analeta mada za nguvu,sijui amekuwa Mchungaji?

Sie Wasilam pia ni Haram kabisaa kuwa na mdoli wowote ndani ya Nyumba,gari au Ofisini,na ni dhambi sana.
Ila watu wabishi tu.
Unajua kuna vitu viongozi wa dini wanaona ni vodogo kuviongelea ila athari yake kubwa sana.Na wapo watu wengine wakikuta mdoli hata kwako hakai sana.
 
Mshana jiheshimu..nimepoteza usingzi wangu wote ....duuuh uwe unaangaliaga na picha za kuleta basi mweh mweh
Hornet,njoo ulale nyumbani,hahahahahaaha,

Sio peke yako,najua humu Mshana amesababisha maafa ya Midoli.
Ukipita mitaani utakuta Members wa JF wameitupa yoote

Ujumbe kwa Mshana,Kwa taarifa nimezopata ni kwamba,Hasira za Midoli wote w JF zinakufuata wewe.

Lakini tuache utani kuna jamaa nimewaambia wasome humu JF hii mada,kila mmoja amesema aisee kweli,kuna siku naona kama home panazingua...hahaha,mmoja yeye kampigia sim House Girl wake aichukue Midoli yoote aweke kwenye Mfuko anaenda na Gari kuichukua,maana ana mtoto mchanga,sasa huwa kinaumwa mara kwa mara.

Hahahahaha,Mshana majangaaaaa
 
Asante sana mleta mada.mimi nilinunua konokono wa baharini&hayo madori,eti mapambo.Baada ya kusoma habari hii leo asubuhi,nikayakusanya yote nimeyachoma moto.konokono nimelitupa.Yaani kuna ukweli hapo kama ulivosema!ASANTE SANA.
 
Hornet,njoo ulale nyumbani,hahahahahaaha,

Sio peke yako,najua humu Mshana amesababisha maafa ya Midoli.
Ukipita mitaani utakuta Members wa JF wameitupa yoote

Ujumbe kwa Mshana,Kwa taarifa nimezopata ni kwamba,Hasira za Midoli wote w JF zinakufuata wewe.

Lakini tuache utani kuna jamaa nimewaambia wasome humu JF hii mada,kila mmoja amesema aisee kweli,kuna siku naona kama home panazingua...hahaha,mmoja yeye kampigia sim House Girl wake aichukue Midoli yoote aweke kwenye Mfuko anaenda na Gari kuichukua,maana ana mtoto mchanga,sasa huwa kinaumwa mara kwa mara.

Hahahahaha,Mshana majangaaaaa

Na ameua biashara ya midori. Mshana watani zako wachaga wanakutafuta. Ole wako
 
Huwa tunafuga majini vinyamkera madogoli na rohochafu majumbani kwetu bila kujua, tunanunua vinyago na midoli ya gharama kwa ajili ya kupendezesha sebule zetu na wakati mwingine kama kampani vitandani mwetu...hatutishani lakini ni hatari vina roho hivi vitu

Wengi wetu tumeshawahi kuona zana za waganga wa kienyeji na wachawi,hawakosi vinyago na midoli, pia tumeshawahi kuona wale wenzetu waabuduo miungu wana masanamu mengi sana...!yale yote yamebeba roho na ndio hizo wanazoziabudu

Kuna roho zinatangatanga duniani hazina makazi baada ya majumba (miili)yao kuharibika(kufa)hivyo huwayawaya huku na kule zikitafuta makazi kwakuwa roho haiwi na nguvu mpaka ipate pa kukaa.Sasa ndugu yangu unajaza midoli nyumbani au kwenye gari au ofisini unavutia na kukaribisha mapepo
Zipo shuhuda mbalimbali za watu waliofanyiwa mambo au kuona mambo ya ajabu kutoka kwenye midoli na vinyago....punguza kuhifadhi hivi vitu vyaweza kuwa na roho zenye madhara makubwa
Mkuu naunga mkono hoja.
Tunaweza kupata mrejesho kutoka kwa mdoli maarufu duniani anayesababisha mikosi na kwa sasa amehifadhiwa kwenye jumba la makumbusho.....anajulikana kwa jina la ..Robert the doll..
 
Mi niliambiwa midoli vinyago si mizuri kuweka ndani nikawaga siamini mana nilikua naipenda kuiweka sebuleni. Sasa siku moja nikiwa nimelala nimeiweka pembeni nikaona mdoli una nyanyuka na kunirukia nilipiga makelele ya hatari na kutetemeka juu. Tangia siku hyo nimekoma hata kuibeba. Kweli vinyango ni ma spirits machafu kabisa na inaweza ikawa inaleta mikosi.

Mi nakataa haiwezekani mudoli umeunua halafu ubadilike. :sad:ya kweli hayo:sad: :A S-rap::A S 100:
 
duu
mtoto wetu wa 5yrs yupo addicted na hizo jamani

eti mshanajr vipi kuhusu mashuka yenye katoon na picha za midoli ???

Kwa mtoto jaribu kumtoa taratibu kwenye hali hiyo.Ukiangalia watoto wengi wapenda Midoli basi hata mapenzi kwa wazazi wanapunguza.
Shuka Za katuni nazo sio nzuri kabisaaa.

Sasa anza kujiandaa na Private SOBA house yako kwa mwanao.Mtoe taratibu na atazoea.

Mie wanangu walikuwa wanapenda katuni hadi muda wa kula hakuna anaekula,na wakitoka shule basi kwenye Tv.Nilichofanya ni kubadilisha mfuno kidogo kidogo.Na sasa wanaangalia Mikanda ile halisi ya watoto wadogo in real.

Hii pia ni kwa Mwanamke,Midoli mingi sana ni rafikir wa mabiti wa kike,unaweza kukuta umelala na Masai dada,unaoka mkono mmoja Masai dada kakukumbatia mwingine kashika mdoli,tena muda mfupi huamua kukaa kivyake na mdoli tuuu huku mnapiga story.
Tabia yako moja kubwa Midoli hii ni kukuondoa mawazo na kukufariji,na kukufanya uone upo kwenye dunia nyingine kabisaa.Ni Hatari sana.
Wakati sijao Girl friend wangu niliku nikimpigia sim,ananiambia nipo tu kitandani kwangu na midoli yangu,maana bila hii sipati usingizi.Tena ameipa majina anayojua yeye.Kazi kweli.
 
Hornet,njoo ulale nyumbani,hahahahahaaha,

Sio peke yako,najua humu Mshana amesababisha maafa ya Midoli.
Ukipita mitaani utakuta Members wa JF wameitupa yoote

Ujumbe kwa Mshana,Kwa taarifa nimezopata ni kwamba,Hasira za Midoli wote w JF zinakufuata wewe.

Lakini tuache utani kuna jamaa nimewaambia wasome humu JF hii mada,kila mmoja amesema aisee kweli,kuna siku naona kama home panazingua...hahaha,mmoja yeye kampigia sim House Girl wake aichukue Midoli yoote aweke kwenye Mfuko anaenda na Gari kuichukua,maana ana mtoto mchanga,sasa huwa kinaumwa mara kwa mara.

Hahahahaha,Mshana majangaaaaa

Hahahahaaaaaaa Zanzibar Spices nakuja Zenji mwezi ujao nina session kule kisiwa cha kobe niandalie pweza wa kubanika
 
Last edited by a moderator:
Na ameua biashara ya midori. Mshana watani zako wachaga wanakutafuta. Ole wako

����������������������☝
 
Back
Top Bottom